Msaada namna ya Ku-withdraw pesa kutoka Afrisight

Nyavinene

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
164
Reaction score
174
Wakuu habari zenu,

Kama mnavojua watu hatuwezi kutegemea kuuza Mayai ya bundi pekee hivyo tunafanya kazi na mitandaoni . Sasa nimefanya survey katika mtandao wa Afrisight mpaka kufikisha zaidi ya 10 dollars. Kasheshe inakuja katika kufanya withdrawing sijui nifanyeje.

Mwenye uwelewa naomba anipe elimu.
 
Siku ukifanikiwa, naomba unielekeze mkuu
 
Back
Top Bottom