Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,861
- 3,923
Z-Library ni digital library ambayo imejipatia umaarufu wake Duniani kwa kuwa na nakala za vitabu zaidi ya 11,733,087 pamoja na Articles 84,837,643.
Z-Library pia ina aina za nakala kama Best-selling Novels, Non-Fiction Books, Academic text Books, Scholarly Journals, Magazines, Newspaper & Even proofs Books ambazo bado hazijawa published. Huku zikiwa kwenye format mbalimbali kama pdf, mobi, epub & other books format.

Imeripotiwa site hii imekuwa ikitoa free-books since 2009. Huku ikiruhusu clients wake kudownload free-Books, Articles, Magazines & other document maximum 5 Per Day.
Waandishi mbalimbali wa vitabu pamoja na nakala waliomba legal action ichukuliwe against Z-Library kwa kukiuka Copyright Law pamoja na kuwaibia Writer's earnings.
November, 3-2022 watu wawili wanaosadikika kuwa ni Russian citizens walikamatwa Cordoba, Argentina. Ambao ni Anton Napolsky umri miaka 33 pamoja na Valeriia Ermakova umri miaka 27 wote wakazi wa St.Petersburg, Russia.
Wawili hao wanashitakiwa kwa makosa ya utakatishaji fedha (Money Laundering), kukiuka Copyright Law za nakala mbalimbali pamoja na kuiba writer's earnings. Huku millions of millions pirated books pamoja na Articles zikiwa downloaded for free of charge kwenye platform zao.
Z-Library domain names zote zinashikiliwa na U.S Department of Justice pamoja na Federal Bureau of Investigation (FBI)
🏴☠️- No One Who Is Someone