Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

Niliwahi fikiria hii kuuza mahindi nikafanya utafiti Masoko ya Dar aisee Mtaji wa Milioni 30 unapata faida ya 1M kwa ku hustle sana
Mkuu ukitaka kurely kwenye faida tu huwezi kufanya biashara yoyote faida inatengenezwa haiji tu kazi ya uwakala ni kazi nzuri sana kwa upande wangu
 
Mkuu ukitaka kurely kwenye faida tu huwezi kufanya biashara yoyote faida inatengenezwa haiji tu kazi ya uwakala ni kazi nzuri sana kwa upande wangu
20M mkuu kuipata tu ni mbinde sasa hustle zake mwezi mzima upate 1M ni pesa ndogo hata matumizi ya familia haitoshi
 
20M mkuu kuipata tu ni mbinde sasa hustle zake mwezi mzima upate 1M ni pesa ndogo hata matumizi ya familia haitoshi
Ukipata eneo zuri ukachanganya uwakala wa bank na uwakala mkuu huwezi pata 1m per month ni ndogo sana

Usikariri faida anayopata mtu faida inategemea na juhudi huenda huyo aliopata 1m siku za mpira hafungui jpil watu wanapiga miamala kibao yeye kafunga ckukuu siku za kutumia ndugu pesa yeye kafunga unategemea nini

Kila biashara inalipa na kuna watu imewatoa na pia kila biashara hailipi na kuna watu imewafia baki hapo mkuu
 
Transform Your Agency Banking Business Today! 💼📈

Are you a mobile or bank agent looking to boost your income and streamline your operations? 🚀

The Wakala Agency Banking System (Mfumo wa Kusimamia Biashara ya Uwakala) empowers agents to seamlessly manage, track finances, and unlock growth opportunities! 💰

✅ Effortless financial tracking
✅ Remotely monitor your business anytime, anywhere
✅ Smart insights with data analysis
✅ Join a thriving community of agents
✅ Built for agents in Tanzania

Ready to take your business to the next level? Watch this video to learn more:
View: https://www.youtube.com/watch?v=2j8SyAnClIQ

📞 Call us now: 0762 896 544

Empower your business. Empower your future. 🌟
 
sasa kakuambia milioni vuzi limetibuka...kuna zaidi ya hayo...kuna utapeli na usimtegemee huyo cashia kuna gharama za kuijua kazi na aina ya wateja unaowahudumia kufikisha 1m ni rahisi na ni ngumu...utapiga miamama kinbao kama mwehu na kuna kupoteza hela hapo... maingira ya benki yanatakiwa kuwa karibu au wakala mkuu kuna miamala mikubwa ya faida unaweza usiifikie...mi nilikuwa napiga 400k na mtaji wa 7m unashuka mpaka 4m miamala ya simu tu....
 
Bora wewe unausema ukweli.
 
Back
Top Bottom