Hehehe, siku hizi tumenunua visu vipyaa vya kuchunia. Ukija tena tustue eeh.
afu wewe tatizo lako kubwa hupati ile cahkula motomoto ya usiku. Unajua ni bonge la piriton? Ukipata ile unalala kama mtoto unastuka asubuhi (unless umepata kwa changudoa, manake atasema na wallet)
1.Soma vitabu sana kuanzia saa mbili mpaka saa nne
2.Fanya mapenzi usiku
3.Usinywe vitu vyenye cola kuanzia jioni
4.Fanya mazoezi ya kutembea nusu saa kila siku.
Mwisho wa mwaka umefika karibia unaenda uchagana,,,,,Poleeeee... Panga maneno mapema kwenda kueleza kwenye kikao cha familia halafu mwombe Mungu atakusaidia
Ooh,pole sana!for how long have you been in that situation?it might be a serious issue..u mean husinzii mchana even after staying like a watchman all the night long?
Thnx marie,it all started almost 3 weeks ago. Mchana sizinzii coz most of the times niko kwenye mishe mishe, but usiku ndo hivyo, nalala 20 mins nimeamka sina usingizi, inabidi nichukue laptop nisongeshe na kazi mpaka kwenye saa kumi hvi ndo naanza kusikia ka uchovu then nalala mpaka saa 12 then from there nakua kitandani tu mpaka niamue kuamka.
Baba, siku hizi tunatumia acid, hakuna wallet inayochunika hata iwe ya askofu, sheikh ama :confused2: Yeyote.
zingatia hiyo dozi ya soul food afu uniambie. Yaani ukichoka wewe gangamala nayo, unalala like a baby na katabasamu usoni
Baba, siku hizi tunatumia acid, hakuna wallet inayochunika hata iwe ya askofu, sheikh ama :confused2: Yeyote.
zingatia hiyo dozi ya soul food afu uniambie. Yaani ukichoka wewe gangamala nayo, unalala like a baby na katabasamu usoni