Tylenol pm or advil pm .drink warm milk no tv in your room.make your room very comfortable and no coffee.dont drink tea 4 hours before you go to bed .nitakuin box kuhusu Tylenol pm kunamzigo wa duka an utuma next week nitakuambia wapi u pick up
I think basi shida niliyo nayo ni ku-sort out between hayo mawazo ninayoweza kuyafanya na nisiyoweza kuyafanya for now, coz yote yanakuja tuuu. . .naona ndo chanzo kikubwa cha hali hii.
hata mie huwa inanitokea pindi ninapotaka kufanya jambo fulani basi nakosa usingizi lakini huwa najipa moyo nakuona kama nitafanikiwa sawa na nisipofanikiwa labda haiukuwa bahati kwa wakti huo labda litawezekana wakati mwingine
Sure, sasa the way of fooling my mind on that inakua kama ngumu vile!. . .yani najitahidi kuidang'anya akili yangu inarukaje mita mia.
Sweet pie, hata nikinywa smirnof ngapi. . .bdo naona usingizi tabu.
For now niko huku Lindi, labda sijui ni hali ya hewa or what,
Au mawazo ya pesa mtoto wa kichagga mie kila siku nawaza opportunities za kupata ela. . .
Kula mavi ya bata
Pole sana mangi. Jebu riraksi bana, nchi uenyewe ishauzwa hii. Count your blessings ujishangae Mungu alivyokupendelea. Manake hujazaliwa na mamake natalia lakini unasurvive. Sio issue ndogo atii.
Pole sana mangi. Jebu riraksi bana, nchi uenyewe ishauzwa hii. Count your blessings ujishangae Mungu alivyokupendelea. Manake hujazaliwa na mamake natalia lakini unasurvive. Sio issue ndogo atii.
The good thing ni kwamba unajitambua.it is obvious kwamba kazi ndio inakupa stress,umeadmit kwamba you have plans and things to accomplish in an exraodinary way..hapa nimenote kwamba unataka kutowaangusha hao wanaokutazama,gud!but find a better way of making division of labour if possible and carryout the necessary parts of your job..for example kama unadrive towards your office jaribu kuwa na dereva,folen za hapa na pale zinastress nazo ukufika home au ofisini umechoka tayari.Pia elewa kwamba ni vizuri kupata mawazo na msaada kwa wanaokuzunguka usife kisabuni na mambo kichwani wakati unge jaribu ku share na watu juu ya hilo unalotaka kufanya ungepata msaada japo wa mawazo..
Haha,hili nalo neno, na mlivyonikimbia moshi we na SL ndo mliniongezea mawazo.
🙂 🙂 ha ha ha ha🙂 🙂