Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Thanks ndugu zangu kwa ushauri nzuri
Nitaufanyia kazi
Nisingelileta humu sijui ningeshaurika wapi
Mungu awabariki sana
Wengi wanafanya hivyo ioa hawesemi tu,kufirana na kusagana ni mtindo wa maisha sasa
 
 

Love is love
 
Huu ushauri ni bora kabisa
 
Tunapoteza muda na gharama kubwa kwenye elimu lakini hatuelimiki.
 
Nyie mbona mnahangaika kumshauri mtu ambaye tayari kashafanya uchaguzi na pia inaonekana anapenda dudu zaidi ya mbususu
 
Unajua kuna watu wana stimu za kula watoto wadogo, kuua wanapojisikia etc. Should we stop condemning these too, and accept them as normal abnormalities within the society?!
 
Umeongea kimafumbo sana be straight, unataka kusema jamii ya mwafrika especially mtanzania ianze kukubali kuwa na wanajamii ambao wanashiriki same sex intercourse, for what ultimate goal of the society?!
 
sifikirii kuwa homosexuality, bisexuality, au sexuality yoyeto nyingine ni ugonjwa unaohitaji tabibu.

Kwanini unadhani ni ugonjwa kupenda?
Abnormalities zote za kitabia si za kuachia zijiendelee tu. Madhara yatakuja kuathiri jamii.

Hii ni shida ya kimakuzi na kama tukimtafiti hapa huyu subject utakuja kugundua kuwa ana some sort of childhood trauma. I bet you that.
 
Are you gay?!
 
Ni vema ukaelewa mambo from the perspective of nature na sio vile wewe unapenda iwe au unahisi inatakiwa kuwa. You seem ignorant when it comes to the knowledge about animal kingdom, humans to be specific and purpose of sexuality difference.
 
Hauhitaji kuombea msamaha kuongea ukweli. Ipo hivi , hii ni shida ya gender identity development kwenye akili. Muhusika amestuck katika ile hatua ya mimi kama mwanaume au mwanamke natakiwa kuperform nini na nini?!

Hii si unaona hata katika mahusiano, mwanamke anampanda mwanaume kichwani sababu alilelewa na mama tu na hakuona mama akiishi na baba yake so hakujua namna ya kubehave na mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…