Msaada: Nahitaji mwalimu wa kujitolea upande wa Computer Web Design

FOX21

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
425
781
Habari wana ndugu, Kama nilivyojieleza hapo mwanzo

Nilipenda kujifunza web design kutoka kwa ndugu yeyote mwenye uelewa na maswala ya computer na jinsi ya kutumia Excel kwa ufasaha

Kwa Sasa napatikana Geita. pia nipotayari kufundishwa kwa njia ya mtandao. (Kuhusu vifaa💻⌨ vya kujifunzia📖 kwangu sio tatzo🖊🖋✏.
 
Back
Top Bottom