Msaada:Nahitaji mtaalam wa kunifundisha music mastering. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Nahitaji mtaalam wa kunifundisha music mastering.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BAOSITA, Mar 30, 2012.

 1. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu!Nahitaji mtaalam/yeyote mwenye ujuzi wa kunipiga brush music mastering.Kwenye making beats niko fresh sasa ili kufanya beats zi sound vizuri na zenye radio/cd quality ndio shida yangu ilipo.Wahusika naomba wani PM tuongee vizuri.

  ---Believdat---
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu wa music production...
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  ungekuwa dodoma ngekuagiza kwa mwalimu flani pale udom ana fundisha mziki pale. Aliwahi kunifundisha fundisha haya mambo lakini sikuzingatia sana. Amesomea sound engineering holland
   
 4. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu,mi nipo Dar tatizo.
   
Loading...