snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
Thaaaaats my geloHili nalo ni tatizo watu kuongea lugha yao.Acha kujiumiza na vitu vidogo vdogo utakonda bure.Mi mme wangu ni kabila lingine, akija mtu wakawa wanaongea kikwao huwa na assume hayanihusu naendelea na mambo yangu.Kama kuna litakalonihusu wataniita.