Msaada, nahitaji kujua lugha ya mume wangu

Msaada, nahitaji kujua lugha ya mume wangu

Ooh Sorry sijaweka ushauri, nazani
Mweleze tu kwamba azingatie uwepo wako kwahyo awe anaongea kiswahili atleast wageni wanapokuwepo ili na ww uweze kujumuika kimaongezi, wengine wanakwambia ujifunze hyo lugha jamani sio rahis mwingine lugha ya kwao tu bado ni tatizo kuielewa sembuse lugha ya mwenzio

Duh!
Inaweza ikawa ni issue kubwa kiasi cha kuhitaji baraza la Idd?
Dah!
 
Mh ndugu kujifunza lugha ya mtu ni kazi kwelikweli,cha kwetu chenyewe nasikia tu ila kujibu ni shida.
 
Tatizo huwa mnaongea kichina sijui kikorea kile!
Af mjue sio kibantu kile,sarufi yake na matamshi yako kivyake!
Siambui hata moja!
Najionea sawa tu!
Ongeeeeeeeni weeeeeeeh mkimaliza atakuja kuongea kiyunani parkushonare!baaas.

Haaaa.mwalimu hujatoa maana ya neno apo juu kisha unazunguka tu....haya naona "wema.wa Mungu umekuzunguka"

Leo tuende wapi?
 
Tena mie akija mdogo wangu CANtalasia, namuambia kabisa paw kamtafute Asprin mnywe bia. Yaani tuache kupiga umbea wa nyumbani kisa? Waache wakuseme na waseme ya kwao. Watu miaka 35 wamejuana, hii yako 5 ndo unataka ujue kila kitu, imekuwa phd? Waache waongee ya kwao, mie najiamini miaka laki 8 hehehe
Af unifundishe kichaga,nahs kabisa mangi akitembelewa na kina miss chagga Nicas Mtei, Mkirua , Asprin na Kaizer wananichakachua!
Haki vile!
 
Last edited by a moderator:
Hili nalo ni tatizo watu kuongea lugha yao.Acha kujiumiza na vitu vidogo vdogo utakonda bure.Mi mme wangu ni kabila lingine, akija mtu wakawa wanaongea kikwao huwa na assume hayanihusu naendelea na mambo yangu.Kama kuna litakalonihusu wataniita.
 
Haaaa.mwalimu hujatoa maana ya neno apo juu kisha unazunguka tu....haya naona "wema.wa Mungu umekuzunguka"

Leo tuende wapi?
ah nilisahau!
Usengwile ni ahsante!
Ukitaka umalize weka hii ,na chilau mewawa!(na kesho tena)wabantu sie atiii!
Kwa mwanamke akigalagala chini ndo daaaaah!
Wenyewe tunasema kugalauka!
 
Mie sijui lugha ya baba yangu kabisaaa. Natamani kungekuwa na chuo nikaenda. Ajabu najua lugha ya mama, kwa sababu walikuwa wanaongea na wadogo zake. Jua lugha kwa manufaa, sio sababu ya kuogopa kusemwa. Kwani hawezi kuwapigia akiwa kazini ama wakachat?
Mtu akianzisha chuo cha kufundisha lugha za makabila atashangaa wanafunzi tele
 
Tena mie akija mdogo wangu CANtalasia, namuambia kabisa paw kamtafute Asprin mnywe bia. Yaani tuache kupiga umbea wa nyumbani kisa? Waache wakuseme na waseme ya kwao. Watu miaka 35 wamejuana, hii yako 5 ndo unataka ujue kila kitu, imekuwa phd? Waache waongee ya kwao, mie najiamini miaka laki 8 hehehe

Kuna watu wanatamani kukosa raaha!
Yan uskute umeandaa tamasha la wanandoa ukawaambia waandike matatizo ya ndoa zao,huyu anaweza akaandika hili kuwa ni tatizo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi tulikubalianaaje kuhusu stalking me? Paw simuachi miaka laki 8, na nduguze wakija nawapa juisi washushie kilugha wakati nawapikia chakula cha kwao. Tafuta kichaka ufyeke, ukiona matuta ujue ni bustani ya wenyewe. Muone kwanza!
Hapo ndipo huwa nakupendea! Yaani unatabasamu kweli nikiwa nagonga kikwetu pindi wageni wanapotutembelea kwenye familia yetu! Ama kweli NIMEPATA MKE, LOL! Wanune, walie, shauri yao!
 
Mh ndugu kujifunza lugha ya mtu ni kazi kwelikweli,cha kwetu chenyewe nasikia tu ila kujibu ni shida.
Kwa hiyo mama zako wadogo sijui antiez wakiongea kilugha chenu ,nao wanakukera?
Au unaamini hawawezi kukutenga kimaongezi?
Unasound veeeery naive!
Samahani lakin!
 
Hivi tulikubalianaaje kuhusu stalking me? Paw simuachi miaka laki 8, na nduguze wakija nawapa juisi washushie kilugha wakati nawapikia chakula cha kwao. Tafuta kichaka ufyeke, ukiona matuta ujue ni bustani ya wenyewe. Muone kwanza!

Hehehehehehe !
Asavali!
Nimetamanije ungeisema kilugha!
Pasiiiiiiiiiiiiingetosha hapa!
Kaizer ukuje
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru wote kwa mawazo yenu!mwanzoni mimi sikujua kama linapaswa kuniumiza kichwa,lakini wadogo zangu walipokuwa wanakuja kunitembelea na kumkuta mume wangu anaongea kilugha kwenye simu ndipo wakaanza kuniuliza kwa nn anaongea hivyo wakati mimi sielewi!tena ikatokea marafiki zangu walikuja kunitembelea wakakuta ndugu za mume wangu wapo pia wanaongea kikwao,wakaniuliza maswali hayahaya!
Hapo ndio nikaanza kuumiza kichwa kwa nini mume wangu anafanya hivi.Ila nashukuru sana ndugu zangu kwa mawazo yenu,nimepata kitu.
 
Kuna watu wanatamani kukosa raaha!
Yan uskute umeandaa tamasha la wanandoa ukawaambia waandike matatizo ya ndoa zao,huyu anaweza akaandika hili kuwa ni tatizo!

Mwalimu yaani unaziona fursa...eti tamasha.. King'asti apa tungechaji ngapi kwa mwanandoa anayeandika hili kuwa tatizo...sijui ni obstacle hii au threat...damn
 
Last edited by a moderator:
ah nilisahau!
Usengwile ni ahsante!
Ukitaka umalize weka hii ,na chilau mewawa!(na kesho tena)wabantu sie atiii!
Kwa mwanamke akigalagala chini ndo daaaaah!
Wenyewe tunasema kugalauka!

Asante.mwalimu! Na chilau mewawa!peramiho hoyeeeee silali njaa mimi!
 
Back
Top Bottom