Habari zenu jamani,mimi ni mwanamke mwenye watoto 3 na mume wa ndoa!ndoa yetu namshukuru Mungu anatusaidia tunaishi vizuri kwa maelewano!
Shida yangu ni kuwa mume wangu ni kabila tofauti na mimi,sasa yeye anapenda kweli kuongea kilugha na ndugu zake either kwa simu au hata wakija nyumbani kutusalimia!yeye haoni kama ni shida na nalielewa hilo,tatizo ni kwamba wakati mwingine natamani kusikia wanachokiongea ila ndo hivyo nashindwa.Kumuambia nahisi kama namnyima raha.
Ninachoomba ni msaada wa jinsi ya kumuapproach kumweleza natamani na mimi nichangie katika maongezi bila yeye kufikiri vibaya maana ni mtu anapenda kuongea sana kikwao yani.
Kwa maana hiyo mimi nimekuwa kama fisi amfuataye binadamu anayetembea akitegemea atadondosha mkono ili auchukue? Haya bwana, siku paw akikumwaga ukija kwangu hutanipata tena! Na hivi jamaa anavyopenda dogo dogo!? Utaisoma namba si muda mrefu!Hivi tulikubalianaaje kuhusu stalking me? Paw simuachi miaka laki 8, na nduguze wakija nawapa juisi washushie kilugha wakati nawapikia chakula cha kwao. Tafuta kichaka ufyeke, ukiona matuta ujue ni bustani ya wenyewe. Muone kwanza!
Umbea ni kama kikohozi ...Lazima sikio liwashe...sasa si ujifunze tu
Mmmhhhh unahisi kusemwa.....huyo mume ni kabila gani na wewe kabila gani??ukitaja kabila itakuwa rahis kushaur maana kuna makabila wakiwa hata ofisin ni lugha ya kwao
ah nilisahau!
Usengwile ni ahsante!
Ukitaka umalize weka hii ,na chilau mewawa!(na kesho tena)wabantu sie atiii!
Kwa mwanamke akigalagala chini ndo daaaaah!
Wenyewe tunasema kugalauka!
Wenzio wanajifunza lugha...tena ndani ya muda mfupi lol...
ingawa si kwa lengo la ku spy...
wanasema ni malovedave eti...
Nina mjomba wangu alioa mzungu
mzungu so fast akajifunza kiswahili
tukafikiri anatupenda sana waswahili kumbee alikuwa na lengo
barua zote za kulilia shida za kumuomba mjomba atume dollars mzungu anazisoma zote
na ni full unoko kwenye kutuma tuma pesa ovyo haha haaa
ukoo wacha wamlaani mzungu .....