Msaada: Nahitaji kuifahamu Bugando Secondary School iliyopo Geita

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
770
2,408
Habarini wakuu,

Naomba kuifahamu kiundani hii shule.

Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi?

Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi?

Historia ya shule, imeanzishwa lini na perfomance-wise ikoje?

Asanteni.
 
Bugando sekondari naifahamu sana zaidi ya ninavyo jifahamu mimi.
Bugando ni shule ya sekondari iliyopo mkoani Geita wilaya na halmashauri ya wilaya ya Geita (Geita District council) huitwa GDC shule hiyo ipo Tarafa ya Bugando (Alipo zaliwa Hayati Dr Magufuli) shule hiyo ipo kata ya Nzera kijiji cha nzera (Sasa ni kijiji cha Bugando).
Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1998 ikiwa na kidato cha 1 hadi 4 mnamo mwaka 2012 shule ilianzisha mpango wa kua na Advanced level (kidato cha 5 na 6) lakini haikufanikiwa, ila mwaka huu 2021 imefanikiwa kuanzisha kidato cha 5 na 6 na wanafunzi kadhaa wamepangiwa kwa michepuo ya sayansi.

Pia unaweza uliza chochote kuhusu Bugando sekondari utajibiwa
 
asante sana...Performance ya shule ikoje kitaaluma
 
Ni shule nzuri, Nimehitimu hapo 2006 O'level, Mazingira ya kujifunzia ni mazuri, Maabara na maktaba zipo, na utulivu maana imejengwa Nje kidogo ya makao makuu ya Halmashauri ya wilaya, ni zile shule za Tarafa, miaka ya nyuma ilikuwa inaongoza kwa wanafunzi wakorofi na kufanya matukio ya Ajabu Ajabu,Kuna mwanafunzi alishawahi kupigwa na kuuawa, ile welcome form one, Wanafunzi wamewahi kuchoma moto nyumba ya mwalimu na Ikakarabatiwa Tena. Kwa sasa ukorofi na matukio ni kama vimepungua Sana, mwanafunzi Akiwa na juhudi Division I na II ni kugusa tu. Wapinzani wa Bugando Sec. Ni GESECO. NA KALANGALALA.
 
Kwa sasa mpinzani mwingine ni Katoro
 
Back
Top Bottom