Msaada: Nahitaji kufahamishwa kuhusu shule za advance (private)-Mwanza

Msaada: Nahitaji kufahamishwa kuhusu shule za advance (private)-Mwanza

TAQWA
THAQAAFA
LAKE

Napendekeza mpeleke LAKE, ukikosa nafasi basi THAQAAFA then TAQWA ya mwisho kila la kheri mkuu
 
Suala la ADA kwa bahati mbaya sana sifahamu ila ni kati ya Laki 8 na haizidi 1.5M hasa kwa mchepuo wa sanaa
Nimemaliza lake 2016 hapo ada ilikuwa form 5 tsh laki nane na nusu na form 6 nililipa 945,000. Ada ni pamoja na uniform
 
Kwa anaejua shule nzuri za advance (private) kwa mkoa wa Mwanza naomba anisaidie majina ya shule husika, ada, pamoja na mahali zinapopatikana (mitaa).

NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia ya kiume na ana ufaulu wa Hist-C, Geog-C, Languange-C, Kiswahili-C.

Natanguliza shukrani.
Anaitaji day au boarding
 
Back
Top Bottom