Msaada: Nahitaji kufahamishwa kuhusu shule za advance (private)-Mwanza

TAQWA
THAQAAFA
LAKE

Napendekeza mpeleke LAKE, ukikosa nafasi basi THAQAAFA then TAQWA ya mwisho kila la kheri mkuu
 
Kwa anaejua shule nzuri za advance (private) kwa mkoa wa Mwanza naomba anisaidie majina ya shule husika, ada, pamoja na mahali zinapopatikana (mitaa).

NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia ya kiume na ana ufaulu wa Hist-C, Geog-C, Languange-C, Kiswahili-C.

Natanguliza shukrani.
Anaitaji day au boarding
 
Back
Top Bottom