Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,640
- 5,522
50400/= ni kwa watoto na wanachuo tu.Sikweli bima hizo inaazia 50400 kwawote sio watoto tu sasa utachagua mwenyewe uaze na kifurushi kipi na aina yatatizo ,ukiwa na mtoto mwenye shida yakutosha kiwango hicho hakikidhi ,labda kutibu kamasi na vipimo vya malaria ukishaingia kwenye kipimo kikubwa haisomi