MSAADA:Nahisi nimetapeliwa TV mpya

MSAADA:Nahisi nimetapeliwa TV mpya

Wewe wacha uduwanz usinipake matope. Pc nimekuuzia kabla ya kutoa hela umeichek zaid ya lisaa , umeridhika nayo tena nikakueleza nauza pc sababu kadha wa kadha, ukaielewa, matatzo madogo madogo nakumbuka nilikuambia kabisa haika na chaji muda mref.. Vingine vyote safi.. Umenipa mpunga wangu, nmeondoka baada ya wiki mbili ndio unaniambia pc sijui spika mbiv sijui takataka gani, ingekuwa wewe ungekubali ningetaka kukutapeli ningekwambia njoo nyumbani tufanye biashara ili likitokea lolote uje mpaka home ukagoma ukasema tukutane eneo...

Niuzie mimi kwa hyo laki moja basi, ongea maneno kuendana na umri wako sio unaropoka tuu..
Yeah ni kweli ndio maana najiita bwege kama yule mwenzangu aliyetapeliwa pesa ya TV...
But nimekuita mnafiki kwa kauli yako ya kusema huwa unajiuliza utampata wapi bwege wa kumpiga?? Wakati ulishanipata babu yako ukanipiga pesa ya kiwanja.....na maisha yanaendelea.
 
Mie sijakupiga bhana.. Kama kweli pc unayo na bei hyo wamefka watu na kushindwa kununua hata kwa laki 1, basi niuzie mwenyewe babu, mie sio tapel hata jinsi ya biashara haikuwa ya kitapeli.

Biashara yetu iko tofaut na ya tv
 
Kwa hiyo umenipiga mzigo kwa laki Sita kisha nikurudishie kwa laki moja??!!....sasa laki tano iliyobaki naipataje??!!
Kwani school fees si ulishalipa?? Nirudishie basi japo laki tano ili laki moja Iwe gharama ya kunifundisha umakini wa biashara...
 
Huyu sio weweView attachment 421945View attachment 421946.. Unanirushia pesa tigo pesa baada ya kuhakiki mzigo, sasa utasemaje nakutapeli, wewe mwenyewe ulikiri kuwa hiv vtu huvijui.. Mengi nikakuelekeza, ulifanya kila aina ya jaribio kabla ya kunipa mpunga iweje leo uniite tapeli kaka mkubwa, behave urself joh.. Una namba yangu ya simu na details zangu za kutosha kipi kigumu kilikufanya usinishitaki, nilikuambia tukafanye biashara nyumbani ukagoma, nikusaidieje sasa kwa mfano.. Biashara tumefanya aftr 2 or 3 weeks unaniambia pc mbovu, nani atakubali biashara uchwara kama hyo.. Basi nenda kanishtaki kuwa nmekutapeli.. Wacha mambo yako bhana.. Tusiharibiane

Kwa taarifa yako nilikuchukua mpaka video nikikuhofia usije ukawa tapeli, maana uligoma kunipa pesa cash ukataka tigo pesa, nikakupiga picha na video juu ili uwe ushahid isije ukanitumia mpunga tukaachana ukawapigia simu tigo pesa ukasema umekosea kutuma pesa
Sidhani kama inafaa kufikia hatua hii ya Kuumbuana kwa kutupia Picha
Hekma ingetumika tu kistaarabu.
Wote mmeeleweka
Kwamba mnunuzi alitaka kununua kitu used kama kipya,na muuzaji aliuza kitu kama kina matatizo.Na mlikubaliana kila mmoja,baadae ikaja sinema
 
Kwa hiyo umenipiga mzigo kwa laki Sita kisha nikurudishie kwa laki moja??!!....sasa laki tano iliyobaki naipataje??!!
Kwani school fees si ulishalipa?? Nirudishie basi japo laki tano ili laki moja Iwe gharama ya kunifundisha umakini wa biashara...
Duhh,laki Sita?
Aisee humu JF kuna watu wageni wa Biashara kweli.
Sasa mkuu wewe ni mgeni wa mambo ya Laptop,unashindwa kuchukua hata kijana mdogo tu akaenda kuikagua na kukupa ushauri?

Ukweli jamaa hajakutapeli,amekuuzia biashara kiungwwana sana tena Nampongeza.Maana alikuwa radhi uende mpaka kwao.Ila wewe ukaona bora yaishe.
Na alikupa uwezo wa kuikagua which means kama muuzaji ungemuambia hata aje nayo ulipo angekuja na wewe ungempa fundi wako ili aikague.
Sasa mie naona Mnunuaji ulipewa uwezo mkubwa sana wa kuikagua na kuweza kuitambua

Mie na Ujanja wangu wote na kuwa karibu na Magari,lakini nikinunua hata Baiskeli,lazima nitafute fundi bora nimlipe lakini lazima anihakikishie mkuu

Nahisi acheni Malumbano wakuu,na Ningeomba Makaveli ungeitoa Picha ya Mteja wako ili kuweka Heshma.
Wenye kuelewa tumewaelewa vizuri sana.Kwamba Mnunuzi ni Mgeni wa masuala ya Electronics kama alivyokiri,sasa expectations zake haziku meet
 
Nakubaliana na yote uliyoandika ndugu...na sipo hapa kumlaumu dogo kwa kunikamata...ila kumkumbusha tu kwamba hata yeye alishawahi kumkamata bwege wa kumpiga kipoyoyo kinyume na kauli yake kwamba huwa anajiuliza lini atapata bwege wa kumpiga kwani opportunity never comes twice...
Kisha nimefurahi kuona hata wewe umeona alichokifanya msomi huyu wa D.I.T, kuanika picha yangu si sahihi, kwani mimi nina picha yake akiwa mboo nje bwenini...Je na mimi ningekuwa na kichwa kama chake nikaamua kuianika hapa itamfurahisha?
 
Cha msingi anzisha uzi kwamba
USINUNUE BIDHAA YOYOTE KUTOKA ZANZIBAR
Hapo utakuwa umeziba soko lote na wauzaji watatafutana wao kwa wao
Maana hii imekuwa soko lote la Zanzibar

Maana bora hata ungeniambia mie nikufuatilie huyo mtu kabla ya kutuma pesa.Ungenilipa pesa ya mafuta ya gari tu.
Siamini kama comment hii imeandikwa na "Zanzibar Spices" hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya biashara ya utapeli na Zanzibar..... Utapeli ni hulka ya mtu...anaweza kuwa nayo hulka hiyo popote alipo Kariakoo , Mecca au hata Jerusalem. Isihukumu Zanzibar kwa kosa la mtu binafsi.
 
Kamshushe busha huyo au nenda Tanga kwa Msisi uwaombe dawa hao jamaa watatembea wakiharisha 24/7 hadi warudishe hela
 
Habari zenu wadau, nilikuwa nahitaji TV nikawa naperuzi mitandaoni kutafuta wauzaji na nikapata hawa wanajiita Electronic Dealers wanauza TV kwa bei nafuu toka Zanzibar na pia wanasafirisha kuja dar na mikoani,nikapata TV kwa 320,000. Jamaa nikaongea naye akasema nitume hela yeye anitumie mzigo,nikamwambia natuma nusu kwanza kiasi cha 200,000 halafu nikipokea mzigo nakamilisha hela. Bahati mbaya siku hiyohiyo kabla sijapokea mzigo nikapata tatizo la ghafla(msiba) na kutakiwa kusafiri haraka nikamwambia tuahirishe zoezi kwanza maana nina tatizo akasema haiwezekani ila nikimaliza mambo yangu nikamilishe hela anitumie.Baada ya siku mbili tatu nikarudi mjini na nikaongea naye akasema poa nimtumie kiasi kilichobaki na anitumie TV kwenye boti ya Azam ya asubuhi mapema kesho yake. Nikatuma hela kiasi kilichobaki 125,000 na ya kutolea ila kuanzia hiyo kesho yake akawa hapokei simu na muda mwingi ipo busy na baadaye ikawa haipatikani kabisa hadi leo hii. Imepita week nzima sasa.

Hela yote imekamilika(nilituma 325,000 jumla) na ushahidi wa msg upo. Sasa katika uchunguzi wangu nikakutana na matangazo kama yaleyale ya mwanzo ya TV yamefanana kila kitu kuanzia jina la kampuni, uandishi wa tangazo,location(ZNZ) na hadi bei za TV ila namba ndio tofauti. Nimepiga jana usiku aliyepokea akasema nipige leo asubuhi akiwa ofisini,leo wanasema haifahamu hiyo namba nyingine.

Hapa chini ni link la tangazo lake la awali ambalo nilinunua hiyo TV na namba ipo 0715606457,
Samsung 32 Inches Led HD Tv Zanzibar Central/South 86869875
na hii nyingine ni link ya tangazo jipya kwa namba nyingine Samsung Led 32 Inches Flat Screen Zanzibar Central/So883087
Naomba anayewafahamu hawa watu anisaidie namna ya kuwapata ili niweze kupata TV au kiasi changu cha fedha 325,000.

Nitaweka screenshot ya msg tulizokuwa tunawasiliana.
Nenda Polisi
 
Duhh,laki Sita?
Aisee humu JF kuna watu wageni wa Biashara kweli.
Sasa mkuu wewe ni mgeni wa mambo ya Laptop,unashindwa kuchukua hata kijana mdogo tu akaenda kuikagua na kukupa ushauri?

Ukweli jamaa hajakutapeli,amekuuzia biashara kiungwwana sana tena Nampongeza.Maana alikuwa radhi uende mpaka kwao.Ila wewe ukaona bora yaishe.
Na alikupa uwezo wa kuikagua which means kama muuzaji ungemuambia hata aje nayo ulipo angekuja na wewe ungempa fundi wako ili aikague.
Sasa mie naona Mnunuaji ulipewa uwezo mkubwa sana wa kuikagua na kuweza kuitambua

Mie na Ujanja wangu wote na kuwa karibu na Magari,lakini nikinunua hata Baiskeli,lazima nitafute fundi bora nimlipe lakini lazima anihakikishie mkuu

Nahisi acheni Malumbano wakuu,na Ningeomba Makaveli ungeitoa Picha ya Mteja wako ili kuweka Heshma.
Wenye kuelewa tumewaelewa vizuri sana.Kwamba Mnunuzi ni Mgeni wa masuala ya Electronics kama alivyokiri,sasa expectations zake haziku meet
Mie sina tatzo nae.. Pic nishafuta, nmekereka kuniita tapeli tu wakat sikuwa na nia n biashara tuliipiga frwsh kabsa..

Yote kwa yote maisha yanaendelea baada ya mambo yote, wote wa hapa town kuna leo na kesho..

Aniwie radhi ambapo nimemkosea haikuwa dhumuni kumuanika ila kuonesha ni jins gani biashara ilitendeka..
 
Nakubaliana na yote uliyoandika ndugu...na sipo hapa kumlaumu dogo kwa kunikamata...ila kumkumbusha tu kwamba hata yeye alishawahi kumkamata bwege wa kumpiga kipoyoyo kinyume na kauli yake kwamba huwa anajiuliza lini atapata bwege wa kumpiga kwani opportunity never comes twice...
Kisha nimefurahi kuona hata wewe umeona alichokifanya msomi huyu wa D.I.T, kuanika picha yangu si sahihi, kwani mimi nina picha yake akiwa **** nje bwenini...Je na mimi ningekuwa na kichwa kama chake nikaamua kuianika hapa itamfurahisha?
Anywa niwie radhi mkuu..
 
Kwa hiyo umenipiga mzigo kwa laki Sita kisha nikurudishie kwa laki moja??!!....sasa laki tano iliyobaki naipataje??!!
Kwani school fees si ulishalipa?? Nirudishie basi japo laki tano ili laki moja Iwe gharama ya kunifundisha umakini wa biashara...
Ni wewe ndio uliyesema mzigo umeanguka kias watu hata laki moja wameshindwa kulipa ndio maana nikakwambia kama upo tayar hata kuuza kwa bei hyo mie nikupe hyo laki.. Lakin si tatzo mie namba zako ninazo japo wewe zangu ushapoteza, nipe tuwiki tutatu then ntakutafta uje na mzigo maskani tuuchek hali yake kama vip nikupe kiwango cha pesa tutakachoridhiana, tuwe tumeishia hapo.. Nadhan itakuwa jambo bora zaid, tukiwa hasa binadam hasa tunaojua lengo la kuumbwa kwetu.. Au km vip utanitafta kwenye 0659445718 ukiona muda umezid maana sisi ni binadam, chochote chaweza tokea muda wowote..
 
Ulikuwa makini sana...lakini mimi na ubwege wangu nilikuamini kwa asilimia zote..hata uliponiambia nikague mzigo niliupitia juu juu tu nikakurushia pesa nikasepa...
Yaliyonikuta ndio hivyo tena nashindwa kujua nitairudishaje ile pesa niliyobebea zege kwa miezi nane...
.. Very sorry najiskia vibaya kuona maneno hayo ila niamin mim kaka, sikukuuzia kitu kibov ikikiwa fresh kasor chaji tu, nakumbuka hilo nilikueleza pale pale wakat tunataka kupiga biashara ila mengine nikakueleza fresh inagonga mzigo kama kawa..

Mie binadamu bhana, sijskii aman kama kuna mtu anakuwa na kinyongo na mimi, ntakutfta baada ya muda kupita then tutamalza kila mtu nafs yake iwe nyeupe japo najua ushaipeleka kwa mafundi wameikorokochoa korokochoa.. Isije tukashindwa hata kupeana salam tukikutana mjin bure..

Uwe na amani ya moyo mkuu..
 
  • Thanks
Reactions: SIM

The only change made to your pc is changing window.....from ten to seven and nothing else....
 
Wewe jamaa una tofauti gani na wale washkaji wanaosemasha wachumba then badae wanageukwa?
 
Hapo umeliwa, wengine hata marafiki tu hawawaamini sembuse mtu usiyemfahamu! Hiyo pesa uliyopoteza ungeongeza laki mbili na elfu themanini au tisini tu ungepata LG LED kubwa mpya kabisa.
 
Mkuu pole ndio ukubwa kkoo Tv zipo za kumwaga unaona unalipa Tv mpya ya laki tatu ungeshirikisha viungo vyote kwa pamoja viamue hapo tamaa ya moyo ilizidi maamuzi ya ubongo maana ubongo huwa unatoa taadhari kwa kila jambo ambalo unataka kufanya unakueleza hadi madhara yatakayotokea lakini moyo ukiamua ndio uliokufikisha hapo..
 
Tatizo watu wamekosa uaminifu tu hakuna biashara yenye pesa nyingi kama ya mtanadaoni sema biashara ya mtandaoni mtaji wake ni uaminifu tu....
 
Back
Top Bottom