Haya,Jf ktk ubora wake. Ktk hali aliokuwa nayo jamaa hakukuwa na ulazima wa wadau kutoa kejeli kwake. Ilikuwa ima umpe pole au laah way forward! Technology inaruhusu sana kufanya online purchases, cha msingi kuzidisha umakini.
Kupatana wenyewe WAMERECOMMEND NEVER PAY IN ADVANCE.. wewe ukaamua kinyumeHabari zenu wadau, nilikuwa nahitaji TV nikawa naperuzi mitandaoni kutafuta wauzaji na nikapata hawa wanajiita Electronic Dealers wanauza TV kwa bei nafuu toka Zanzibar na pia wanasafirisha kuja dar na mikoani,nikapata TV kwa 320,000. Jamaa nikaongea naye akasema nitume hela yeye anitumie mzigo,nikamwambia natuma nusu kwanza kiasi cha 200,000 halafu nikipokea mzigo nakamilisha hela. Bahati mbaya siku hiyohiyo kabla sijapokea mzigo nikapata tatizo la ghafla(msiba) na kutakiwa kusafiri haraka nikamwambia tuahirishe zoezi kwanza maana nina tatizo akasema haiwezekani ila nikimaliza mambo yangu nikamilishe hela anitumie.Baada ya siku mbili tatu nikarudi mjini na nikaongea naye akasema poa nimtumie kiasi kilichobaki na anitumie TV kwenye boti ya Azam ya asubuhi mapema kesho yake. Nikatuma hela kiasi kilichobaki 125,000 na ya kutolea ila kuanzia hiyo kesho yake akawa hapokei simu na muda mwingi ipo busy na baadaye ikawa haipatikani kabisa hadi leo hii. Imepita week nzima sasa.
Hela yote imekamilika(nilituma 325,000 jumla) na ushahidi wa msg upo. Sasa katika uchunguzi wangu nikakutana na matangazo kama yaleyale ya mwanzo ya TV yamefanana kila kitu kuanzia jina la kampuni, uandishi wa tangazo,location(ZNZ) na hadi bei za TV ila namba ndio tofauti. Nimepiga jana usiku aliyepokea akasema nipige leo asubuhi akiwa ofisini,leo wanasema haifahamu hiyo namba nyingine.
Hapa chini ni link la tangazo lake la awali ambalo nilinunua hiyo TV na namba ipo 0715606457,
Samsung 32 Inches Led HD Tv Zanzibar Central/South 86869875
na hii nyingine ni link ya tangazo jipya kwa namba nyingine Samsung Led 32 Inches Flat Screen Zanzibar Central/So883087
Naomba anayewafahamu hawa watu anisaidie namna ya kuwapata ili niweze kupata TV au kiasi changu cha fedha 325,000.
Nitaweka screenshot ya msg tulizokuwa tunawasiliana.

Ondoa shaka mkuu sema lini nikuletee, utalipa huko huko na utachukulia mzigo hukoNahitaji TV ndio maana, kama nikipata huko itabidi nilipe nikipokea mzigo.
Kweli kabisa mkuu, watu wanamkejeli na kumdhihaki kama vile wamemchangia hiyo hela, siyo vizuri kila anapitia mitihani tofauti, leo yeye kesho weweJf ktk ubora wake. Ktk hali aliokuwa nayo jamaa hakukuwa na ulazima wa wadau kutoa kejeli kwake. Ilikuwa ima umpe pole au laah way forward! Technology inaruhusu sana kufanya online purchases, cha msingi kuzidisha umakini.
Aisee ndugu pole yako.. Offer ilikuwa tempting kiasi kwamba mtu unashindwa kufikiri vizuri..Habari zenu wadau, nilikuwa nahitaji TV nikawa naperuzi mitandaoni kutafuta wauzaji na nikapata hawa wanajiita Electronic Dealers wanauza TV kwa bei nafuu toka Zanzibar na pia wanasafirisha kuja dar na mikoani,nikapata TV kwa 320,000. Jamaa nikaongea naye akasema nitume hela yeye anitumie mzigo,nikamwambia natuma nusu kwanza kiasi cha 200,000 halafu nikipokea mzigo nakamilisha hela. Bahati mbaya siku hiyohiyo kabla sijapokea mzigo nikapata tatizo la ghafla(msiba) na kutakiwa kusafiri haraka nikamwambia tuahirishe zoezi kwanza maana nina tatizo akasema haiwezekani ila nikimaliza mambo yangu nikamilishe hela anitumie.Baada ya siku mbili tatu nikarudi mjini na nikaongea naye akasema poa nimtumie kiasi kilichobaki na anitumie TV kwenye boti ya Azam ya asubuhi mapema kesho yake. Nikatuma hela kiasi kilichobaki 125,000 na ya kutolea ila kuanzia hiyo kesho yake akawa hapokei simu na muda mwingi ipo busy na baadaye ikawa haipatikani kabisa hadi leo hii. Imepita week nzima sasa.
Hela yote imekamilika(nilituma 325,000 jumla) na ushahidi wa msg upo. Sasa katika uchunguzi wangu nikakutana na matangazo kama yaleyale ya mwanzo ya TV yamefanana kila kitu kuanzia jina la kampuni, uandishi wa tangazo,location(ZNZ) na hadi bei za TV ila namba ndio tofauti. Nimepiga jana usiku aliyepokea akasema nipige leo asubuhi akiwa ofisini,leo wanasema haifahamu hiyo namba nyingine.
Hapa chini ni link la tangazo lake la awali ambalo nilinunua hiyo TV na namba ipo 0715606457,
Samsung 32 Inches Led HD Tv Zanzibar Central/South 86869875
na hii nyingine ni link ya tangazo jipya kwa namba nyingine Samsung Led 32 Inches Flat Screen Zanzibar Central/So883087
Naomba anayewafahamu hawa watu anisaidie namna ya kuwapata ili niweze kupata TV au kiasi changu cha fedha 325,000.
Nitaweka screenshot ya msg tulizokuwa tunawasiliana.
Mkuu na hapo hujamsaidia maana inawezekana hata huku zanzibar yenyewe hayuko, katumia tu hiyo location ili aaminike, usikute yupo hapo hapo darAwe mpole
Gharama ya kudeal na polisi itakuwa ni sawa na kununua mpyaa.
Kuna uzi kama huu umo humu wa kesi kama hiyo
Sasa wewe umekurupuka sana.
Tv yenyewe kwenye tangazo unaona kabisa Mtu ame google picha na amekuwekea,sasa wewe mpaka hapo hujaona tu kama unaibiwa?Unanua kitu usichokijua?
Mungu ambariki Tapeli,ili mlijue Jiji vizuri.
Haalfu ulivyo mzembe,badala ya kuweka mtego kirahisi tu hapo,wewe ungekuja Zanzibar then ukajifanya kama new Customer unataka kwenda kununua na una cash,badi hapo ungemnasa kiulainiiii
Yaani Malcom umejiunga JF tangu 2008?leo hii umekuwa wa DAR unaibiwa kizembe namna hiyo,aisee kweli Jiji halina Mwenyewe.
Mshkaji wangu sikupi Pole
Duh mkuu mpaka sisi wakweli atuzibie, hiyo hapana asifanye atatuharibia na sisi waaminifuCha msingi anzisha uzi kwamba
USINUNUE BIDHAA YOYOTE KUTOKA ZANZIBAR
Hapo utakuwa umeziba soko lote na wauzaji watatafutana wao kwa wao
Maana hii imekuwa soko lote la Zanzibar
Maana bora hata ungeniambia mie nikufuatilie huyo mtu kabla ya kutuma pesa.Ungenilipa pesa ya mafuta ya gari tu.
Itabidi mbadilike,muweke Picha za Duka kwa nje,na mseme lipo wapi,ili iwe rahisi kupatikana.Duh mkuu mpaka sisi wakweli atuzibie, hiyo hapana asifanye atatuharibia na sisi waaminifu
Mkuu mi nipo mtendeni kwa msonga halua kama upo zenji njoo mda wowote kuanzia saa 3 asubuhi ha saa 1 jioni, kuhusu kuyuma mzigo dar na kulipia huko ndivo ninavofanya kwa walio na shaka na mimi, ama refrence ya niliofanya nao biashara ni wengi sana sema wakisha pata mizigo yao wanaishia kunishukuru mimi tu hua hawaleti mrejesho humu kama nimeupata, wanasubiri watapeliwe ndo hua wepesi wa kuja kutoa mrejesho, 0718919725 $ 0777650286 njoo nipo utanikutaItabidi mbadilike,muweke Picha za Duka kwa nje,na mseme lipo wapi,ili iwe rahisi kupatikana.
Na at least kuwa na reference ya angalau mtu mmoja humu JF alienunua bidhaa kutoka kwao ili kujenga imani.
Na pia watu wote wa Zanzibar tuna Ndugu DAR,na ikiwezekana basi pesa zilipwe DAR kwa ndugu zenu huku,tena lazima iwe sehem yenye kufahamika sio kukutana Congo kitaa,na kutupia picha hapo hapoa ya pamoja.
Maana inabidi sasa tuwe tunauziana kama vile Magaidi wa bidhaa.
Zanzibar ina sifa kubwa sana ya uaminifu,sasa mjinga mmoja huyo kaja kuvuruga kila kitu.Kuna watu wamewahi kuja Zanzibar mara mbili tu kununua Magari baada ya hapo wanatuma pesa tu hata 20m bila hofu na mtu gari zake zinamfikia Dar.
Kwanza naanza na Abdul hembu niambie Duka lako lipo wapi kwanza nije hapo live
Asante MkuuMkuu mi nipo mtendeni kwa msonga halua kama upo zenji njoo mda wowote kuanzia saa 3 asubuhi ha saa 1 jioni, kuhusu kuyuma mzigo dar na kulipia huko ndivo ninavofanya kwa walio na shaka na mimi, ama refrence ya niliofanya nao biashara ni wengi sana sema wakisha pata mizigo yao wanaishia kunishukuru mimi tu hua hawaleti mrejesho humu kama nimeupata, wanasubiri watapeliwe ndo hua wepesi wa kuja kutoa mrejesho, 0718919725 $ 0777650286 njoo nipo utanikuta
Mkuu shukran kwanza kwa kunielewa, ama kuhusu kusafirisha mpaka kuutoa nje mi hua kama tv 32" nampa baharia 35000, 40" 40000 na 43" 50000 na 48" mpaka 55" hua nampa 65000 mpaka 70000, hapo anakutolea mpaka njeAsante Mkuu
Mitaa hiyo naijua vizuri,na nimekuamini,maana kwa Zantel ya 0777,kwa sie wa Zanzibar basi ni mtu dhamana,hilo tu linatosha.
Na mfumo unaotomia ni mzuri sana.
Basia cha kazi iendelee,maana alietapeliwa katapeliwa kizembe saaana,maana hata picha kwenye post ya tangazo haikuwa halisi.
Rest in Pain Malcom mtapeliwa
Abdul,hembu niambie mpaka kuutoa mzigo Dar unagharimu ziada kiasi gani?yaani mtu anauchukau nje ya bandari Dar,yeye ni kuweka kwenye gari tu,hapo extra inakuwa kiasi gani?
Maana nilikuwa naifikiria hii biashara kwa kufanya kwa Jumla kupeleka Mwanza
Duh!! Huu ubwege mkuu unamuamin mtu vip kumtumia hela wakati humjui.. Mie kila siku naona matangazo km hayo huwa nasema moyoni "mtampata bwege gani wa kumtapeli kiboya hvyo kwa karne hii" sasa cha kushangaza ni kuona kila siku matangazo yanaibuka means wanafanikiwa, nikawa siamin kumbe kweli bhana wazembe wapo ndio nimeamin sasa
Anyway pole mkuu.. Sikukashifu, niwie radhi kama utakuwa umenielewa vibaya.
Dogo Acha unafiki, mbona nawewe umenipiga juzi tu...umeniuzia laptop mbovu kwa hela ndefu kwa sababu tu nilikuamini...ukanichukulia bwege.
Ulidai we ni denti umekwama hela ya ada, kesho yake nakuona unaendelea na biashara jf.
Leo natangaza mpaka dau la 100k wana wakija kuicheki hawarudi..
Shauri yako ujue Mungu anakuona unavyotapeli wazee.
Wewe wacha uduwanz usinipake matope. Pc nimekuuzia kabla ya kutoa hela umeichek zaid ya lisaa , umeridhika nayo tena nikakueleza nauza pc sababu kadha wa kadha, ukaielewa, matatzo madogo madogo nakumbuka nilikuambia kabisa haika na chaji muda mref.. Vingine vyote safi.. Umenipa mpunga wangu, nmeondoka baada ya wiki mbili ndio unaniambia pc sijui spika mbiv sijui takataka gani, ingekuwa wewe ungekubali ningetaka kukutapeli ningekwambia njoo nyumbani tufanye biashara ili likitokea lolote uje mpaka home ukagoma ukasema tukutane eneo...Sony