Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,789
- 51,557
Ahaaa kumbeee 👊🏿👊🏿Ujuzi sina
Ahaaa kumbeee 👊🏿👊🏿Ujuzi sina
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Si ndo hapo sasa.
Atakuwa analengo lingine loh[emoji23].
Nikichanganya madesa kama hivyo…nauliza boda au bajaji kwenye vile vituko vyao maalum.
Kwanza naanza kuwasalimia kisela nawapa tano,nauliza nikipata msaada mimi yuleeee kiatu.narudi kwenye maongezi ya kimwanamke
Haha,Nenda kamtoe huko...
Asije kujikuta Osterbay Polisi [emoji28]
Kama umemwagiwa maji ya barafu 😂😂😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utafanyaje sasa hapo? Hakuna namna..
Inabidi uwe mpole tu..
Halafu ukiwa mpole wanakuelekeza vizuri mno utafurahi.. kama unapanda Daladala hadi Kondakta atapewa maagizo sehemu ya kukushusha...
Ukijifanya mjuaji umeisha[emoji28]
Nobody 😃😃Haha,
Aingie tu kabisa hapo Ubalozi, anaweza kupewa visa ya USA, who knows!
Subiri hapohapo tutafakari kama kweli umzimaNipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...
Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni
Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Yupo Mikocheni Chama (mara Feza huenda sahivi amefika kwa Mwalimu Nyerere au Waryoba 😁), hapa ni karibu na rahisi kufika Morocco au Kawe kuliko Makumbusho.Cutelove chukua boda fasta ni 2000 wakurudishe hadi makumbusho stendi upande tena daladala zinazoenda mbezi kimara.
Huko Morocco mbali sijui wanaokushauri wanafikiria nini
Nakubali msela wangu..Si ndo hapo sasa.
Atakuwa analengo lingine loh[emoji23].
Nikichanganya madesa kama hivyo…nauliza boda au bajaji kwenye vile vituko vyao maalum.
Kwanza naanza kuwasalimia kisela nawapa tano,nauliza nikipata msaada mimi yuleeee kiatu.narudi kwenye maongezi ya kimwanamke
Kupotea ndio kujua njia, tumuache apambane. 😁Nobody 😃😃
Umepata msaada au bado?Nimesoma sehemu Mwai kibaki Road ,naelekea Tanesco ,hata sijui nilipo
Ingia tu hapo kituo cha polisi, omba hifadhi mpaka kesho ndio uanze kuitafuta njia vzrNipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...
Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni
Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Mbuzi kafia kwa muuza supu?Sina ninachoweza kumsaidia mleta mada...
Naona anatuzingua tu hapa...
Wewe haukawii kupindua Mesa,kama uliweza kuwasaliti wakorea wenzio kwa mjapani,bridal maskNakubali msela wangu..
Mwambie mleta mada Kama hajapata gari nimfuate,twende home kawe kisha Asubuhi tuamkie kwenye ibada Kwa mwamposa [emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ujuaji mwingi haukusaidiiAnatokaje Makumbusho halafu ashukie mikocheni 😳😳😳
HOW?
#YNWA
Hili ndilo jibu?Ujuaji mwingi haukusaidii
Boda wengine ni mavi ya mbwa,nimempa elfu 2000 anipeleke makumbusho,tukafika shule ya msingi Mapambano amenishusha,ameniambia makumbusho ni elfu tano ,nahisi kuchizi ,nipo shekhlango road sijui hapa ni wapi?Umepata msaada au bado?
[emoji28][emoji28]Wewe haukawii kupindua Mesa,kama uliweza kuwasaliti wakorea wenzio kwa mjapani,bridal mask
[emoji28][emoji28]Boda wengine ni mavi ya mbwa,nimempa elfu 2000 anipeleke makumbusho,tukafika shule ya msingi Mapambano amenishusha,ameniambia makumbusho ni elfu tano ,nahisi kuchizi ,nipo shekhlango road sijui hapa ni wapi?