Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Nimesoma sehemu Mwai kibaki Road ,naelekea Tanesco ,hata sijui nilipo
Hebu ngoja kwanza

Ndo mara yako ya kwanza kufika Dar?

Kwa hii comment my love tegemea gari litakuja kukuchukua hapo ulipo likurudishe kimara sawa ee..
 
Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...

Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni

Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Kutokana na foleni za magari zinazosababishwa na mvua nakushauri waombe polisi wakuandikie PGO ulale kwenye kituo chao mpaka kesho.
 
Ita bolt ikupeleke Morocco,
Watu wanaogopa kumeet strangers.
Bolt siku hizi ni cheap mno.
 
Hapo Ulipo,Geuka nyuma hapa! Nimeshakuona nipo na Range black...Usijali ntakufikisha hadi mlangoni kwako.
 
Nimesoma sehemu Mwai kibaki Road ,naelekea Tanesco ,hata sijui nilipo
Mwai Kibaki Road ni hii Old Bagamoyo Road... Panda Magari ya Kawe - Buza au Kawe - Mbagala au Kawe - Temeke Ushukie Morocco (nauli 400) then Morocco unaweza kupanda Mwendokasi moja kwa moja hadi Kimara...

Au ukifika Morocco panda gari za Masaki - Simu2000 (nauli 400) mpaka Mawasiliano. Ukifika Mawasiliano panda gari za kwenda Kimara.

Option nyingine; hapo ulipo panda gari zinazoenda Kawe (nauli 400) ukifika Kawe panda gari zinazoenda Mbezi (nauli 500) ukifika Mbezi panda gari zinazoenda Kimara (nauli 400)

Option ya tatu; panda gari zinazoenda Kawe (Nauli 400), ukifika Kawe panda gari zinazoenda Mawasiliano (nauli 400),ukifika Mawasiliano panda gari zinazoenda Kimara (nauli 500).

Ushindwe wewe tu.
 
Asante sana,acha nijaribu hii yako
 
Back
Top Bottom