Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,398
- 23,060
Kila la kheri mkuu.Asante sana,acha nijaribu hii yako
Kila la kheri mkuu.Asante sana,acha nijaribu hii yako
Sina ninachoweza kumsaidia mleta mada...Msaidie [emoji16]
Unaweza kuta yupo zake Igoma Mwanza huko. 😁Sina ninachoweza kumsaidia mleta mada...
Naona anatuzingua tu hapa...
Anatokaje Makumbusho halafu ashukie mikocheni 😳😳😳Panda gari linaloenda morocco then utapanda mwendo kasi.
Linakuwa limetokea kawe!
Morocco Kuna mwendo Kasi.Panda pikipiki mpaka Morocco, panda gari za Simu2000 (zinatokea Masaki) then ukifika Mawasiliano kuna gari za Kimara.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuta yupo zake Igoma Mwanza huko. [emoji16]
Kama unaelekea Kawe eeFeza nursery ndugu
Ila wewe Cutelove wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Walinichanganya nikashukia njiani
Pole sana.rafiki yangu hapo kwenye simu yako hauna Bolt,Uber au google 🗺.Mimi sio mwenyeji
Nenda kamtoe huko...Kama unaelekea Kawe ee
Una smartphone hujui hata kutumia google map?Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...
Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni
Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Ingia hapo police waambie unahitaji kupumzika.Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...
Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni
Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Simu unayotumia ina google maps. Ingia humo, chagua street maps, itakuonesha njia.Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...
Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni
Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Si ndo hapo sasa.Huyu anachangamsha jukwaa tu...
Hivi upotee sehemu hata muda wa kuandika unakuwa nao kweli?
Maana pressure inakuwa juu vibaya...
Mimi huwa nauliza wale fundi viatu[emoji2]