Msaada: Nahisi nimefungwa kishirikina na mke wangu

Kwa asilomia kubwa waliocomment negative ni wanafiki, hakuna asiye zini, wachache sana, wengine wanatamani wanakosa fedha za kuhonga hii ni sawa tu na kuzini.

Tatizo lako si kulogwa ila tatizo la saikologia zaidi, wakati unatongoza akili yako inakuwa kwa mkeo.
 
Kama mwanamke anakukataa hiyo ni hatari. Inakoelekea utabaka na hatimaye ufungwe 30yrs, hasara kwako na wazazi wako. Sasa cha kufanya, chukua likizo bila kumtaarifu, ukifika nyumbani mwambie umeamua kuacha kazi ili ukae naye muda wote. Majibu yake ndo yatakujulisha amekufunga au hapana
 
Huna pesa usituchanganye mzee. Wenye pesa saa 6 wamelala hawana stress kama mimi nawewe.

Kwa kukusaidia tu, kula nyeto za hapa na pale hadi akili ikukae Sawa.
Ujue mzee Africa ni sie ni masikini sana tena sana na ndo mana mpaka wazungu wanatuhurumia ama wanatucheka why masikini na kila kitu tunacho.

MTU kuwa na nyumba ya 3 bedrooms, usafiri na kipato angalau 2M+ kwa mwezi ambayo ~1000$ ni life LA kawaida sana kuwa na Gari ulaya ni kama kuwa na simu hapa kwetu mana usafiri ni muhimu.

Ila huku kwetu MTU anajiita tajiri/ana pesa na huku haya $100k kwenye akaunti yake hana.
MTU hata hajawahi kujengea shule/ zahanati wananchi wake akawapa kama msaada jamani.
Sema ni kwa vile tumekulia kwa umasikini sana ukiwa na Gari jnavimba sana mana hujalizoea tokea babu Wa baba yako hakuwa na Gari.
Profesa qa marekani babu Wa babu alikuwa Profesa ila huku hakuna kwanza MTU ambaye ni Profesa Africa halafu eti babu yake alikuwa ni prof pia.
So mambo ndo tunayapata saivi lazima tuwe na kaulimbukeni na ugeni hata Wa madaraka.
Muangalie jk natokea familia ambayo walikuwa viongozi so hakuna kigeni kwao.
Mjukuu Wa nyerere akiwa raisi ni kawaida sana tokea baba Wa Nyerrrr alikuwa chief Wa wakoloni.

Inatakiwa ujue tuliopata Hela ukubwani tokea kijijini tuko tofauti na waliozaliwa kwenye hela mana wamezizoea sana.

Labda jamaa anayo laki ya kumhonga mwanamke so lazima aseme kuwa Hela anayo labda hatukumuelewa.
 
Mapacha wana nguvu fulani ya asili. Ulichomfanyia mama yao ndo kitakugharimu.
Ngoja umpate na isisimame ndo uaibike.
Mkeo anatosha bana.
 
Mkuu ni vitu vitatu tu binadamu akivikosa alanaweza kupata madhara kiafya hata Kufa,
1. Chakula
2.Mavazi
3.Malazi
Heshimu ndoa yako bro, ngono sio hitaji la msingi kwa binadamu, mpende na mheshimu mkeo. Analea watoto wako kumbuka
Sio kweli, vitu vitatu ambavyo kiumbe yeyote akivikosa anapata madhara hata kufa Ni
1 hewa
2 maji
3 chakula
 
Habari Wana JF

Ninaishi na mke wa watoto wetu wadogo ambao ni mapacha Wana mwaka mmoja

Nmekuja hapa kuomba msaada baada yakuona Kuna mambo hayaniendei sawa tofauti na mwanzo. Nilipooana na huyu mke wangu mambo yalikua vizuri tu Hadi mwezi wa 10 mwaka huu mambo yakabadilika baada ya yeye kuziona mesej za mwanamke mwingine kwenye sim yangu, kwel nikiri lilikua ni kosa nilijitahidi Sana kumuomba msamaha akakubali kunisamehe lakin ikawa haiishi wiki lazima akumbushie, ugomvi unaanza upya kati yetu ,mambo yakawa ni hivo tu Hadi nilipoondoka kwenda mkoa mwingine kikazi ambako ndio nipo Hadi sasa

Baada ya kufika huku naona Kuna mambo hayapo sawa kabisa kwenye maisha yangu tofauti na mwanzo,hasa kwenye sekta ya mapenzi,Nahisi huyu mke wangu amenifunga nisiweze kupata mwanamke yoyote wa kufanya nae mapenzi ,ni kweli nomeoa Ila nipo Safari mwezi mmoja na nusu Kama mwanaume ambae Nina hisia lazima nipate kipozeo kidogo ,lakini imekua tofaut kabisa Hadi leo Kila nitako jaribu sipati kitu

Nikasema labda nijaribu basi kwa wanaojiuza nako mambo ni yaleyale hamna nilichopata, licha ya kwamba pesa kidogo zipo lakin Kila sehem natolewa nje

Naomben msaada wa ushauri nifanye Nini, maana Nahisi Kama mke wangu kanifunga nyota kishirikina ili nisiweze kupenzika ,mpaka niwe na yeye tu

Au Kama Kuna mtu amewahi kupitia ishu Kama hii alifanyaje kujiokoa
Hujakoma tu pamoja na kuomba msamahaa? Acha uzinzi mkuu!
 
Habari Wana JF

Ninaishi na mke wa watoto wetu wadogo ambao ni mapacha wana mwaka mmoja.

Nimekuja hapa kuomba msaada baada ya kuona kuna mambo hayaniendei sawa tofauti na mwanzo. Nilipooana na huyu mke wangu mambo yalikuwa vizuri tu hadi mwezi wa 10 mwaka huu mambo yakabadilika baada ya yeye kuziona meseji za mwanamke mwingine kwenye simu yangu, kweli nikiri lilikuwa ni kosa nilijitahidi sana kumuomba msamaha akakubali kunisamehe lakini ikawa haiishi wiki lazima akumbushie, ugomvi unaanza upya kati yetu ,mambo yakawa ni hivo tu hadi nilipoondoka kwenda mkoa mwingine kikazi ambako ndio nipo hadi sasa.

Baada ya kufika huku naona kuna mambo hayapo sawa kabisa kwenye maisha yangu tofauti na mwanzo hasa kwenye sekta ya mapenzi. Nahisi huyu mke wangu amenifunga nisiweze kupata mwanamke yeyote wa kufanya nae mapenzi.

Ni kweli nimeoa Ila nipo safari mwezi mmoja na nusu kama mwanaume ambae nina hisia lazima nipate kipozeo kidogo ,lakini imekuwa tofauti kabisa hadi leo kila nitakojaribu sipati kitu.

Nikasema labda nijaribu basi kwa wanaojiuza nako mambo ni yale yale hamna nilichopata, licha ya kwamba pesa kidogo zipo lakini kila sehemu natolewa nje.

Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini, maana nahisi kama mke wangu kanifunga nyota kishirikina ili nisiweze kupenzika ,mpaka niwe na yeye tu.

Au Kama kuna mtu amewahi kupitia ishu kama hii alifanyaje kujiokoa.
nami nahitaji kufungwa mkuu, nipe namba ya bi mkubwa anielekeze kwa mtaalam wake
 
Wewe ni lofa, una umri gani kwanza ??, yawezekana tunaongea na matoto yamemaliza chuo juzi
 
Back
Top Bottom