Msaada: Nahisi nimefungwa kishirikina na mke wangu

Hahah bora ww mkuu mm nilifungwa kitu haisimami kweny gemu au ikisimama inanywea ndani bila kumaliza, nikirudi kwa muhusika nachakata papuchi kweli. Dah ila hawa wanawake hawa sijui pale kweny bustani wali discuss nn na nyoka
 
Habari Wana JF

Ninaishi na mke wa watoto wetu wadogo ambao ni mapacha wana mwaka mmoja.

Nimekuja hapa kuomba msaada baada ya kuona kuna mambo hayaniendei sawa tofauti na mwanzo. Nilipooana na huyu mke wangu mambo yalikuwa vizuri tu hadi mwezi wa 10 mwaka huu mambo yakabadilika baada ya yeye kuziona meseji za mwanamke mwingine kwenye simu yangu, kweli nikiri lilikuwa ni kosa nilijitahidi sana kumuomba msamaha akakubali kunisamehe lakini ikawa haiishi wiki lazima akumbushie, ugomvi unaanza upya kati yetu ,mambo yakawa ni hivo tu hadi nilipoondoka kwenda mkoa mwingine kikazi ambako ndio nipo hadi sasa.

Baada ya kufika huku naona kuna mambo hayapo sawa kabisa kwenye maisha yangu tofauti na mwanzo hasa kwenye sekta ya mapenzi. Nahisi huyu mke wangu amenifunga nisiweze kupata mwanamke yeyote wa kufanya nae mapenzi.

Ni kweli nimeoa Ila nipo safari mwezi mmoja na nusu kama mwanaume ambae nina hisia lazima nipate kipozeo kidogo ,lakini imekuwa tofauti kabisa hadi leo kila nitakojaribu sipati kitu.

Nikasema labda nijaribu basi kwa wanaojiuza nako mambo ni yale yale hamna nilichopata, licha ya kwamba pesa kidogo zipo lakini kila sehemu natolewa nje.

Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini, maana nahisi kama mke wangu kanifunga nyota kishirikina ili nisiweze kupenzika ,mpaka niwe na yeye tu.

Au Kama kuna mtu amewahi kupitia ishu kama hii alifanyaje kujiokoa.
Kakukasirikia tu, hiyo ni kama laana fulani hivi kwako....jaribu kumtekenya acheke na kufurahi ili uanze tena kuwa na bahati kama zamani
 
Oa mke wa pili au kuwa na nyumba ndogo, akili itamrudi tu huyo msanii
 
Mkuu acha kuficha mambo funguka kama labda ukifika sita kwa sita jogoo hapandi mtungi usaidie
 
Unataka utushirikishe katika dhambi yako au?! Pambana na hali yako hatushauri jinsi ya kuchepuka mtu kwenye ndoa yake
 
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya ....n.k
Endelea kuwa na imani hio hio,unajiloga mwenyewe.Fikiria positive itakusaidia we kiazi
 
Back
Top Bottom