Msaada: Nahisi nimefungwa kishirikina na mke wangu

Hiki ndio kinachonikuta Mimi kwa sasa,wife kila tukikutana anakumbushia inshu ya Mimi kuwa na mchepuko jirani,now sina demu hata mmoja ,nimeenda kwa wife kaninunia unyumba hanipi wiki sasa inaisha Hadi nimepoteza mzuka nae,hapa napiga tu nyeto nasubiri siku ifike nisepe zangu mkoa ninaoishi nikaendelee na shughuli zangu.
 
Kama ameweza kukuloga kuhusu kulinda heshima ya ndoa yenu mimi namshauri akaongeze dose iwe kuuona uume wako ni mpaka ukienda kukojoa tu tofauti na hivyo hata nyeto asikupe nafasi ya kupiga.

Mzee,ninini maana ya kuowa?kwa hiyo makubaliano mliyofanya mbele ya sheikh au mchungaji unataka kusema ulikuwa unatania?acheni masihara na maisha bwana.
 
Habari Wana JF

Ninaishi na mke wa watoto wetu wadogo ambao ni mapacha wana mwaka mmoja.

Nimekuja hapa kuomba msaada baada ya kuona kuna mambo hayaniendei sawa tofauti na mwanzo. Nilipooana na huyu mke wangu mambo yalikuwa vizuri tu hadi mwezi wa 10 mwaka huu mambo yakabadilika baada ya yeye kuziona meseji za mwanamke mwingine kwenye simu yangu, kweli nikiri lilikuwa ni kosa nilijitahidi sana kumuomba msamaha akakubali kunisamehe lakini ikawa haiishi wiki lazima akumbushie, ugomvi unaanza upya kati yetu ,mambo yakawa ni hivo tu hadi nilipoondoka kwenda mkoa mwingine kikazi ambako ndio nipo hadi sasa.

Baada ya kufika huku naona kuna mambo hayapo sawa kabisa kwenye maisha yangu tofauti na mwanzo hasa kwenye sekta ya mapenzi. Nahisi huyu mke wangu amenifunga nisiweze kupata mwanamke yeyote wa kufanya nae mapenzi.

Ni kweli nimeoa Ila nipo safari mwezi mmoja na nusu kama mwanaume ambae nina hisia lazima nipate kipozeo kidogo ,lakini imekuwa tofauti kabisa hadi leo kila nitakojaribu sipati kitu.

Nikasema labda nijaribu basi kwa wanaojiuza nako mambo ni yale yale hamna nilichopata, licha ya kwamba pesa kidogo zipo lakini kila sehemu natolewa nje.

Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini, maana nahisi kama mke wangu kanifunga nyota kishirikina ili nisiweze kupenzika ,mpaka niwe na yeye tu.

Au Kama kuna mtu amewahi kupitia ishu kama hii alifanyaje kujiokoa.
😆😆😆
 
Kwahiyo ndio mkaamua mumseme mwenzenu
How alilie kutenda kosa?tumezoea kuona kosa kutendeka kwa bahati mbaya sasa yeye yupo hapa analalamika kabisa kwamba “kwanini siwezi kufanya makosa”.

Hii siyo sawa lazima tumkemee mwanaume mwenzetu amepotoka.
 
Wengi Hapa wanajifany wapo njia kuu

Mkuu nenda kajarbu kwa Hawa wanaovaa sketi na mashati meupe

Ukishndw Hapo Rudi nyumbn chapu
 
...Ni kweli nimeoa Ila nipo safari mwezi mmoja na nusu kama mwanaume ambae nina hisia lazima nipate kipozeo kidogo ,lakini imekuwa tofauti kabisa hadi leo kila nitakojaribu sipati kitu....

shemeji yetu kama unasoma uzi tunakuomba umpige miba huyu jamaa asisimamishe
 
Back
Top Bottom