Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
[emoji3516]Sasa hujamfanya kitu afu alete polisi?
Hiyo mihemko yenu muwe mnaenda hata kununua Malaya muachane na wanafunzi, Cha kukushauri wewe sepa...
Wadada wachuo woote aliochakata..kaona haitoshi aende na kwa waprimary Sasa...Huu ndio uandishi wa mtu alie maliza chuo[emoji15]
Hama mjiKo kaka unanishaur nifanyaje bado sijakamatika unaeza nishaur
Amenishangaza sana anaposema anashindwa kujizuia anapo ona mwanamke yeyote. Si ajabu atakuwa anamtamani na bi mkubwa wake.Wadada wachuo woote aliochakata..kaona haitoshi aende na kwa waprimary Sasa...
Bora angesoma Dini ingemsaidia.. .Sasa kusoma kote na kupata madegree hata sheria TU ya nchi nayo hataki kuifuata.
Jamani Shule yako hutembei umebadika cheti Cha degree yako ya first class kwenye paji la uso ..Tabia yako ndo inaonesha huo usomi wako.
Kwa mujibu wa maelezo Yake...Mama ake pia anamtamani Sema tu kashindwa aanzaje... Story za watoto kutembea na Mama zao zipo...ndo Kama Hawa sasa. Anaona baba ake anafaidi.Amenishangaza sana anaposema anashindwa kujizuia anapo ona mwanamke yeyote. Si ajabu atakuwa anamtamani na bi mkubwa wake.
Na huyo dent anaye sema isije kuwa ni STD 4
Chakusikitisha anavizia na watoto awaharibu sijui Hana hela za kuhongaWadada wachuo woote aliochakata..kaona haitoshi aende na kwa waprimary Sasa...
Bora angesoma Dini ingemsaidia.. .Sasa kusoma kote na kupata madegree hata sheria TU ya nchi nayo hataki kuifuata.
Jamani Shule yako hutembei umebadika cheti Cha degree yako ya first class kwenye paji la uso ..Tabia yako ndo inaonesha huo usomi wako.
Huyu ahame mji aende wapi..akamatwe TU... KILA atakapoenda ataendelea kubaka TU.Hama mji
Kwa kweli hamu gani hyo ya kuharibu watoto jamani nimesikitika sanaHuyu ahame mji aende wapi..akamatwe TU... KILA atakapoenda ataendelea kubaka TU.
Jela watamfundisha kujizuia na tamaa za Ngono.
Kabisa... Naona kutafuta kazi hakujamkeep busy vya kutosha.. huko jela huwa wanachanja kuni na kulima visiki... Inaweza msaidia kudhibiti matamio Yake ya kingono.Huyu aende tu jela kura yake itatia gundu kabisa imagine someone anakuharibia mwanao
Mama unahisi alimfanya nn?Police wamekuja na madai gani kama hukumfanya chochote?
Tena vitoto vidogo kabisa..Huyu msomi kweli ndo wakuviita vitoto vya primary getoni..keshazoea huyu...Huyu msomi ni mwiba katika jamii Yake...jela ndo mahali.pake.Chakusikitisha anavizia na watoto awaharibu sijui Hana hela za kuhonga
Wanafata watoto vile hawawezi kuwahonga na hawataki vitu vingi, aende tu jela akakutane na bwana jelaKabisa... Naona kutafuta kazi hakujamkeep busy vya kutosha.. huko jela huwa wanachanja kuni na kulima visiki... Inaweza msaidia kudhibiti matamio Yake ya kingono.
Huyu kijana ni hatari, inatakiwa akamatwe tuWadada wachuo woote aliochakata..kaona haitoshi aende na kwa waprimary Sasa...
Bora angesoma Dini ingemsaidia.. .Sasa kusoma kote na kupata madegree hata sheria TU ya nchi nayo hataki kuifuata.
Jamani Shule yako hutembei umebadika cheti Cha degree yako ya first class kwenye paji la uso ..Tabia yako ndo inaonesha huo usomi wako.
Mwondoe Mungu, hawezi kuwa shahidi wa uzinziSiku mfanya kitu shahid mungu sema nafaham mi siez sex bila kumshawish mtu na nlikua katika harakat za kumwambia ila nahis alihis Nina nia mbaya
Mkuu tumrudie Mungu tuwe na hofu. Ni hasaraMm Niko Kama wewe,utofauti wangu na wako,mm wanafunzi,watoto under 18 na wake za watu ndio sigusi,Ila mwanamke mwingine yeyote hata awe Bibi napita nae,nishawahi kuambiwa nihame kisa naleta mademu Sana...daaah