Habari! Wakuu kuna biashara nafanya ya dagaa wa Zanzibar sasa nahitaji ongezea thamani kwa kufanya packaging niwe napeleka supermarkert na hata maduka mbali mbali na lengo Mtanzania mwenye hadhi yeyote avutiwe na kuweza kutumia hii bidhaa,je? Kipi na kipi nifanye na kinahitajika mfano bei ya vifungashio,pakuvipata kwa Dar,sticker na kipi kingine kinahitajika katika hili ili kulitimiza ila bado mtaji wangu ni level ya mjasiriamali mdogo tu.Ahsanteh
Ushauri,maoni,n.k karibuni.
Hizi ni sample za vifungashio nazopendekeza napenda kujua zaidi kuhusu gharama zake na upatikanaji.
Ushauri,maoni,n.k karibuni.
Hizi ni sample za vifungashio nazopendekeza napenda kujua zaidi kuhusu gharama zake na upatikanaji.