Msaada na Ushauri kuhusu Vifungashio vya Dagaa

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,852
Points
2,000

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,852 2,000
Habari! Wakuu kuna biashara nafanya ya dagaa wa Zanzibar sasa nahitaji ongezea thamani kwa kufanya packaging niwe napeleka supermarkert na hata maduka mbali mbali na lengo Mtanzania mwenye hadhi yeyote avutiwe na kuweza kutumia hii bidhaa,je? Kipi na kipi nifanye na kinahitajika mfano bei ya vifungashio,pakuvipata kwa Dar,sticker na kipi kingine kinahitajika katika hili ili kulitimiza ila bado mtaji wangu ni level ya mjasiriamali mdogo tu.Ahsanteh

Ushauri,maoni,n.k karibuni.

Hizi ni sample za vifungashio nazopendekeza napenda kujua zaidi kuhusu gharama zake na upatikanaji.
IMG_20180801_194915.jpg

IMG_20180801_194820.jpg
 
Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,852
Points
2,000

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,852 2,000
Kifungashio cha mwanzo,ndio sahihi
Hapana boss mi siuzi hao ila nishawahi kuwaonja uchungu hautoki kichwani kichwa hubeba mchanga kwa wale dagaa wanaoanikwa chini ila ule uchungu hutokea tumboni na kichwa ni mchanga sasa kama utaanika vizuri hilo linaepukika mkuu japo sifahamu zaidi kuhusu hao hapo content ilikuwa ni kifungashio na ninao dili nao mimi hawana uchungu.Ahsanteh
 
jaxonjohnson

Member
Joined
Mar 20, 2018
Messages
25
Points
45

jaxonjohnson

Member
Joined Mar 20, 2018
25 45
Hata mimi nawasubiri wataalamu waje wanipe bei elekezi ya hivi vifungashio(hasa bei za jumla au za viwandani),maana nafahamu kwa bei ya rejareja pale kariakoo ni kati ya shs 200-275 kutegemeana na duka unalonunulia,nakumbuka uvivu wangu wa kuzungukia maduka tofauti ulinicost siku ya kwanza nikajikuta nauziwa 500 kwa pc moja pale nje ya Kariakoo sokoni!!
 
jaxonjohnson

Member
Joined
Mar 20, 2018
Messages
25
Points
45

jaxonjohnson

Member
Joined Mar 20, 2018
25 45
Habari! Wakuu kuna biashara nafanya ya dagaa wa Zanzibar sasa nahitaji ongezea thamani kwa kufanya packaging niwe napeleka supermarkert na hata maduka mbali mbali na lengo Mtanzania mwenye hadhi yeyote avutiwe na kuweza kutumia hii bidhaa,je? Kipi na kipi nifanye na kinahitajika mfano bei ya vifungashio,pakuvipata kwa Dar,sticker na kipi kingine kinahitajika katika hili ili kulitimiza ila bado mtaji wangu ni level ya mjasiriamali mdogo tu.Ahsanteh

Ushauri,maoni,n.k karibuni.

Hizi ni sample za vifungashio nazopendekeza napenda kujua zaidi kuhusu gharama zake na upatikanaji.
View attachment 824567
View attachment 824568
Hata mimi nawasubiri wataalamu waje wanipe bei elekezi ya hivi vifungashio(hasa bei za jumla au za viwandani),maana nafahamu kwa bei ya rejareja pale kariakoo ni kati ya shs 200-275 kutegemeana na duka unalonunulia,nakumbuka uvivu wangu wa kuzungukia maduka tofauti ulinicost siku ya kwanza nikajikuta nauziwa 500 kwa pc moja pale nje ya Kariakoo sokoni!!
 
Forum statistics

Threads 1,367,041
Members 521,649
Posts 33,385,864
Top