Msaada Na HKL yangu

Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
95
Jamani Mm Ni Mwalimu Ninadegree Nipo Kazini Kwa Miaka Mitatu Nataka Mwakani Nikasome ,sitaki Kusomea Ualimu Coz Maisha Ya Ualimu Ni Ya Kiboya,je Ni Kozi Gani Iko Poa Sokoni,masters Au First Degree,olevel Nina Two Ya Point 20,na Advance Hkl Dvn One Point 8,msaada Wenu,nitajie Course Na Chuo Inakopatikana,matusi Ruksa Ukipenda
 

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
3,806
2,000
Jamani Mm Ni Mwalimu Ninadegree Nipo Kazini Kwa Miaka Mitatu Nataka Mwakani Nikasome ,sitaki Kusomea Ualimu Coz Maisha Ya Ualimu Ni Ya Kiboya,je Ni Kozi Gani Iko Poa Sokoni,masters Au First Degree,olevel Nina Two Ya Point 20,na Advance Hkl Dvn One Point 8,msaada Wenu,nitajie Course Na Chuo Inakopatikana,matusi Ruksa Ukipenda
Kama umesoma science
Aply diploma ya afya
 

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
1,657
2,000
We ndo boya coz unadhan kusoma sana ndo kuwa na maisha mazur.U can hold Phd still ukawa poorer
 

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,661
2,000
jaribu afya diploma kama o level ulisoma science ,,kama hujasoma science o level endelea kuwa boya ,,usisome masters yoyote
 

ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Mi nadhani afute mentality ya kusoma ili apate kazi, apate kazi ili awe na maisha bora, bali ajijengee utamaduni wa kuthamini ndoto zake, ajiulize yeye angependa awe nani ambako moyo wake unamtuma? Huko nako badilika, mafanikio yawe ni ufanisi kazini wala si kipato chake, ufanisi utakuletea kipato ukitakacho. Kazi yoyote ukiifanya bila kuipenda hautofanikiwa, wewe ndo wale ambao wazazi waliwalazimisha kusomea ualimu kwa kigezo cha ajira ya mojakwamoja. Wameua ndoto zako, sasa uko tu unapwaya. Jitulize tu na ajira, jijenge kiuchumi halafu rudi nyuma kwa wewe asilia, sisi humu hatukujui, baba wako pia hakujui, ni wewe mwenyewe tu ujijuaye, kila la kheri. Usiusikilize ushauri wa kozi utakazotajiwa humu, zinaweza zikawa zinaleta fedha nyingi, lakini wewe hutozimudu na ukafukuzwa kazi bure, mfano afya utakwenda pasua mtu kichwa badala ya mguu.
 

Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,700
2,000
Wekeza kwenye siasa ndo dili tena aihitaji uwe na elimu kubwa maana hata darasa la saba wapo na wanakula ng'ombe kwa mrija majimboni
 

Innocenthezron

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
396
500
Me nahisi ungetoa mentality ya kwamba ukisoma utafanikiwa..... Cha kufanya weka ualimu kama chanzo cha mtaji af uke mshahara unaoupata anza kuwekeza kwenye ujasiriamali mbalimbali me ningependekeza uwekeze katika kilimo kwanza kwa sababu kinaaminika sana kuliko hata bishara
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom