Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,176
Why not from Mumbai to kilwa or mtwara?From Mumbay to Cape town.
kuwa na akiri ya kujibu sio ki ccm ccm hapa.
Akili.
haya majibu ni wazi kabisa nyie UVCCM ni ukunga yaani hakuna shule na mnaonyesha ujinga wenu.
swissme
Yule jamaa anayedai kuwafanya watu kuongea kiingereza ndani ya wiki 3 na eti kama mtu akishindwa anarudishiwa ada. Sijui anatumia miujiza gani wakati watu wanasoma mpaka Phd kingereza kinawashinda.Nimeulizwa swali mbele za watu kusema ukweli nimeshindwa kujibu!!hivi bahari hii inayoitwa ya hindi imeanzia wapi na imeishia wapi!
Sory!mimi nimesoma kwa rasi simba hivyo hakutufundisha mambo ya bahari!
Nimeulizwa swali mbele za watu kusema ukweli nimeshindwa kujibu!!hivi bahari hii inayoitwa ya hindi imeanzia wapi na imeishia wapi!
Sory!mimi nimesoma kwa rasi simba hivyo hakutufundisha mambo ya bahari!
Panaitwa Sea view au Cape point mkuu! Nimeshuhudia kwa macho hiyo sehemu, Ni pembezoni mwa mlima Wao maarufu unaitwa Table Mountain, pale bahari zinakutana Na unaona, kwanza Kuna mvuke flani maeneo hayo hafu Kuna kiubaridi tofauti Na hata ukipita mwenyewe unaki feel, wenyewe wanaiita Ni pembe ya Africa, kwenye kona kabisa pale....!ukifka cape town mahali flan wanasema ni mwisho wa indian ocean na maji kama yanaonesha mpaka, kwa upande ndo najua
Kuna Wataalam Husema Hilo Eneo La Cape Point Hizo Bahari Kwa Maana Ya Maji Yake Kuna Upande Una Maji Moto (Vuguvugu) Na Mwingi Maji Baridi Sasa Waliofika Hapo Maji Yake Huwa Yanachukua Muda Kuungana Pamoja.Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!