Ndugu zangu wataalamu au mwenye kujua hili tatizo la kuumwa na miguu naomba anisaidie ufumbuzi kwani wazee wangu (Mama na Baba) Miguu inawasumbua sana hadi nawaonea huruma!
Mara nyingi hilo tatizo kwa wazee halina tiba inategemea na nin kimesabisha,hospitalin kuna dawa za kupunguza maumiv tu.kuna product za kampun ya forever living gharama yake ni 370,000 inasaidia sana kwa tatizo hilo.ukihitaji ushauri tumia namba 0715 720276.
Mara nyingi zinakuwa ni dalili za hypertesion (pressure ya juu) au kisukari. Muone dactari atakushauri. Lakini pia wasisahau kunywa maji kwa wingi, wapunguze au waache kabisa kula nyama nyekundu (ya ngo'mbe, mbuzi n.k), wapunguze kula chumvi nyingi na mambo mengine kama hayo.
watafutie:
asali,
mdalasini /unga wa mlonge
kiwe ndo kinywaji chao kila siku, watapata nafuu kubwa sana kama siyo kupona kabisa.
uwe makini na hizi dawa za forever huwa sio effective kama watu wanavyoziadvertise utatumia tu pesa nyingi bure, chukua ushauri wa Mamndenyi au kawaone madokta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.