Msaada mwenzenu; wazazi wangu wanaumwa na miguu, nifanyeje?

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Ndugu zangu wataalamu au mwenye kujua hili tatizo la kuumwa na miguu naomba anisaidie ufumbuzi kwani wazee wangu (Mama na Baba) Miguu inawasumbua sana hadi nawaonea huruma!

Natanguliza shukurani
 
Poleni sana, wapeleke hospital, watachunguzwa na kupatiwa ushauri na matibabu yanayostahili.
 
Mara nyingi hilo tatizo kwa wazee halina tiba inategemea na nin kimesabisha,hospitalin kuna dawa za kupunguza maumiv tu.kuna product za kampun ya forever living gharama yake ni 370,000 inasaidia sana kwa tatizo hilo.ukihitaji ushauri tumia namba 0715 720276.
 
Mara nyingi zinakuwa ni dalili za hypertesion (pressure ya juu) au kisukari. Muone dactari atakushauri. Lakini pia wasisahau kunywa maji kwa wingi, wapunguze au waache kabisa kula nyama nyekundu (ya ngo'mbe, mbuzi n.k), wapunguze kula chumvi nyingi na mambo mengine kama hayo.

watafutie:
asali,
mdalasini /unga wa mlonge

kiwe ndo kinywaji chao kila siku, watapata nafuu kubwa sana kama siyo kupona kabisa.
 
uwe makini na hizi dawa za forever huwa sio effective kama watu wanavyoziadvertise utatumia tu pesa nyingi bure, chukua ushauri wa Mamndenyi au kawaone madokta
 
Mkuu mm sio dokta,ila hilo ni tatizo la calcium!linasumbua wazee wengi sana,ajitahd kula dagaa,maziwa,na pia watumie supplement za calcium.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom