Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
mkuu vipi hizo za juu hapo hujaziona?Uzi mzima comment za maana ni mbili tu
mkuu vipi hizo za juu hapo hujaziona?Uzi mzima comment za maana ni mbili tu
Rahiisi sana kijudge....Mather fatherMwambie maasi yake aliyofanya huko nyuma...
Wengi wametenda maovu so malipo hayo yanaanza kuja..
Karma ndugu.. hakuna asieumwa bila chanzo pia atubu dhambi zake na aokoke
CFF ndo nini icho mkuumimi nakushauri kafanye vipimo zaidi usije kuta ni CCF
Kwanza uko wapi hapa nchiniHabari za majukumu ya siku nzima na poleni na ugumu wa uchungu wa maisha, Kama kichwa tajwa hpo juu naomba msaada juu ya mweza wangu ambae nimedumu nae mwaka wa tatu huu, tangu mwaka 2017 umeanza huyu nnaetarajia awe mke wangu afya yake imekaa vibaya amekuwa mtu wa kuandawa na magonjwa ya mara kwa mara.
Tumezunguka hospitali zote , ikabidi tujarbu upande wa tiba za asili lakini bado hajapona ingawa tumeambiwa amechezewa kishirikina mahala pake pa kazi.
Kikubwa zaidi kichwa na kizunguzungu na saa nyingine mapigo ya moyo yanamuenda mbio sasa na mwezi wa sita unakaribia juu ya hili tatizo lake.
Naombeni mwenye tiba au ushauri aniapatie nini kifanyike huyu binti apone.
Ahsanten sana
Ni kweli asipokuwa na imani hawez kupona,hili nimedhibitisha kabisa nilikuwa na mgonjwa yeye haamini kama anaweza kuombewa akapona matokeo yake ameenda Kwa waganga mwaka umeisha wanamlia hela tuu.Kama hospital na kwenye tiba asili imeshindikana, njia pekee ambayo ni jibu tosha la tatizo ni kwenda kwenye maombi, ila huyo mwenza wako mtarajiwa awe na imani kuwa atapona! Asipokuwa na imani hatapona!