Msaada mwenye software ya VLC Media

Bado almost drivers zote tu mkuu time na nikitafuta online sioni zenye specs kama mashine yangu sijui hata nifnyej
Eka specification za machine ama full name ya computer.

Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties

Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika.
 
Baada ya kupiga ile window saaa hata nikiconect na hotspot inakataa mkuu.
Inasema enter security key
Security key unaipata kwenye kifaa unachotumia kutengenezea hotspot kama ni simu nenda setting kisha tafuta hotspot kisha chagua configure utaiona password
 
Yeah nilizitolea hapo lakini kila nkiingiza inarudia tena hvo
 
Eka specification za machine ama full name ya computer.

Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties

Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika.
Dell.
Intel(R)core(TM)DuoCPU T9400 @2.53GHz 2.54.GHz.
32 bit operating system
 
Back
Top Bottom