Msaada: Mwenye nyimbo za kampeni za CCM

Msaada: Mwenye nyimbo za kampeni za CCM

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,056
Reaction score
1,867
Jamani wadau kama kuna mwenye nyimbo za kampena za ccm mpya na za zamani atuwekee hapa.
 
Nani mwenye huo muda wa kisemgerema kutuma nyimbo za CCM..... Huku kitaa tuna hasira sana sana
 
Komba alipofariki, na nyimbo zikafutika. Je ule mpango wa kumsajili Dianond et. all kutunga nyimbo umegomaa???
 
Back
Top Bottom