ashraffbale
New Member
- Jun 3, 2026
- 2
- 3
Naomba mwenye nyimbo hizi produced by amba/ab records atume
1. yaki ft farida we ni wangu
2. Mauza uza meckone
3. Binti maringo kk
Nimeitafuta kila kona sizioni ni za kitambo Mwenye nayo atuwekee attachment hapa. Nipo hapa naskiliza matambala yake na rama dee, man kichefu, hussein machozi, roho 7 na wengineo. Nisaidieni hizo nyimbo hapo juu