Msaada mwenye kujua dawa

Msaada mwenye kujua dawa

Paka asali na kanda na maji ya motomoto kiasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1563086577040.jpeg
 
Pole nenda kamuone dr, ila hiyo picha ya tatu aisee 😂😂
 
Hawa sio nyuki bali ulizama chumvini ukachelewa kutoka ukakutana na ugiligili wa moto wenye asidi kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu zana za chumvini lazima uwe na kvant na toothpick
 
Kaka watu washaachukua picha yako na kutupia kwenye status FB NA Whatsp huko
Screenshot_2019-07-15-15-12-39-818_com.whatsapp.jpeg
 
Back
Top Bottom