Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 551
- 1,272
Nimeng'aatwa na nyuuki msaada wakuu
Sasa hiyo anayotabasamu ndio balaa
Dawa gani nitumieHapo mdomoni najuwa ukipitisha ulimi kuna kitu unavutia picha, na hiyo ndio sababu inayo kufanya utabasamu....
Nimazamo tu
Usiombe yakukute
Msaada wa dawa mkuuSasa hiyo anayotabasamu ndio balaa
hapa tunamuita sabosabo, maana avator yake inaendana na moja kati ya hizo picha! teh tehDuuuh ,poleee nenda hospital Viatu vya Samaki
Allergy yaweza kuwa sahihiNi nyuki au ni Aleji