Msaada mwenye kujua dawa

Msaada mwenye kujua dawa

Hujasema unataka msaada wa aina gan! Kama nyuki kakudunga tulia tu, baada ya siku mbili hali itarudia kuwa ya kawaida.

Pole lakini.
 
Mkuu nimecheka hadi nimepata kwikwi moja hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hio picha unayotabasamu itengenezee frame..



Halafu wakuu anayejua dawa ya kwikwi iko inaniua hapa
 
Utafanya mtaa wenu ibadilishwe jina uitwe
.................. Kwa domo.
 
Mkuu nimecheka hadi nimepata kwikwi moja hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hio picha unayotabasamu itengenezee frame..



Halafu wakuu anayejua dawa ya kwikwi iko inaniua hapa
Sasa hivi niko fresh mkuu
 
Nyuki ganu ang'ataye lip ya juu tu asiguse sehemu nyingine?
Sema umelamba loloo in piere liquid voice
 
Mkuu nimecheka hadi nimepata kwikwi moja hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hio picha unayotabasamu itengenezee frame..



Halafu wakuu anayejua dawa ya kwikwi iko inaniua hapa
kunywa glass moja kwa kuhesabu had mara saba

yaan 1. unakunywa 2. unakunywa tena 3.....
 
Duuh aisee, miaka fulani iliwahi nikuta issue kama hiyo sikia tu
 
Back
Top Bottom