iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,392
- 2,690
Weka finger print kaka
Nje ya mada hapa bold 'im impressed'.....
Amesema ina line ya nje. Sasa inawezekana mtandao huo wa nje haupatikani huku kwetu. NI sawa na wewe uende na simu yako ikiwa na line ya tigo au voda Japan au Syria nadhani mtu akikupigia kutoka huku bongo hatapata netiweki. Kama inafanya kazi inawezekana lugha wanayoongea wapigaji haielewi! Ni shida!Rudisha simu kwa mwenyewe. Ina maana siku zote hizo hamna hata mtu aliyepiga hiyo simu mkamweleza ili mumrudishie mwenyewe? Kuweni na roho ya utu ni Mungu tu anakupima imani na vitu vidogo
Hello wadau,
Mwanangu wa miaka mitano kaokota iPhone 5s white, 3 days ago akiwa anatoka tuition mida ya SAA kumi na mbili jioni
Nimeikuta ina laini ya nje, haijalokiwa inadai finger print au password, its almost new.
Niifanyeje? Nawaza ntaanzaje kuirudisha kwa mwenyewe?
Raha za hizi simu smart phone haswa iPhone 5s na kuendelea yaan ukiokota au uibe bure maan huwez tumia unakuwa nayo Kama maonyesho tu.
Hello wadau,
Mwanangu wa miaka mitano kaokota iPhone 5s white, 3 days ago akiwa anatoka tuition mida ya SAA kumi na mbili jioni
Nimeikuta ina laini ya nje, haijalokiwa inadai finger print au password, its almost new.
Niifanyeje? Nawaza ntaanzaje kuirudisha kwa mwenyewe?
Mtoto ana miaka 5 alafu anasoma tuition na anarudi nyumbani saa 12 jioni! NI MAAJABU.

Hii imekaa kaa kibongo movie
hata mi nimejiuliza sijapata jibu