Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Peleka polisi
Smart phone kuwa traced ni rais sana.
Kuokota line ya simu au simu yenyewe ni hatari kwa matumizi.
Fungua phone book, mpigia yeyote kuuliza mmiliki wa iyo simu.
kasema simu ipo locked na ina request finger print mkuu
Soma vizuri kasema haijalokiwa, ila naona hajui maana ya lock. Anadhani finger print au password siyo lock! Alitaka aone kufuli.kasema simu ipo locked na ina request finger print mkuu
Raha za hizi simu smart phone haswa iPhone 5s na kuendelea yaan ukiokota au uibe bure maan huwez tumia unakuwa nayo Kama maonyesho tu.
kasema simu ipo locked na ina request finger print mkuu
Hello wadau,
Mwanangu wa miaka mitano kaokota iPhone 5s white, 3 days ago akiwa anatoka tuition mida ya SAA kumi na mbili jioni
Nimeikuta ina laini ya nje, haijalokiwa inadai finger print au password, its almost new.
Niifanyeje? Nawaza ntaanzaje kuirudisha kwa mwenyewe?