Msaada Mwanangu ananifirisi...

ww Mpemba inaelekea ulizaliwa katika SHIDA sana na manyanyaso ndio maana unataka raha na huzipati
km mtoto hutaki atumie smartphone mnyang'anye na km unampa zima Data
mm watoto wangu wanasoma English Medium wanakutana na Computer tangu Pri STD 1
km Baba nyumbani unatakiwa wewe ndio upendwe sio wakuogope kama mjomba au wewe ni baba wa kambo?
eti ukampa kitochi
lini ataelewa kuingiza LUKU? bill za maji na ving'amuzi
vyote mpaka uwepo
hii ni kumsababishia manung'unko na aishi km Mpemba kila siku kukimbia bara na visiwani pori na baharini
 
Mkuu unafanya uwekezaji mkubwa sana kwa mtoto wako achana na makelele ya wanajf ila cha msingi mnunulie pc na umfundishe vitu ambavyo ni productive zaidi pia mfundishe na displini inaonekana upande huo umejisahau sana! Mpangie muda maalum wa kutumia internet na sio kila akililia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mi nashindwa kuelewa umetaka ushauri lakini kila ushauri unauona mbaya na haufai,mi naona uendelee kumnunulia bando si vinginevyo.Halafu kuna jamaa anataka awekewe mkwara I'll Apache mazoea ya simu,usichokijua ndugu hao ndio wazazi wanaojiita '' single parent'' hao hawalei Bali udekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisikilize makelele ya member wa humu wengi wanalea watoto wao km kwenye kambi ya jeshi ila cha muhimu zaidi km nilivyokwambia mfundishe displini na kumfundisha displini sio lazima umchape, km akililia km unavyosema mnyime access ya icho kitu anacholilia hta kwa wiki nzima na hta akilia mpaka kujigaragaza we mwache tu! Ukiweza kuvumilia hyo kero next time dogo displini yake itaimarika mdogo mdogo

Ila cha muhimu zaidi usimdekeze kupita kiasi mfundishe vitu ambavyo ni productive especially vinavyphusu IT akifikisha miaka 20 uwekezaji wako unaweza kukulipa big time!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kufirisi ni lugha gani vile? Au hili neno linatokana na neno Kufira? Lakini ingelikuwa ungelisema ananifirisha. Hebu mkuu tufahamishe kidogo na sisi tufahamu,. Au ni Kiswahili cha dot com?
 
TTCL unlimited itakufaa unamsusia na line kabisa ...... sema daa nasikitika atakuwa addicted mapema sana afu mwisho wa siku ataangalia visivyo faa ....soln: mtafutie tab mpya jaza movies za katuni na some educational video za level yake atafurahia na kuelimika .....mimi nyumbani kwangu nina unlimited fiber optic ya ttcl lakini sijamuunga na wifi na wala husumbui na akimaliza movies zake za cartoons nina muwekea nyingine na some games na notes za darasani basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…