Sphygmomanometer
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 274
- 231
Dah hapo mkuu inabidi ufuatilie kwa kina kwa maelfu ya wanawake waliojaa leo mitaani halafu mtu afikie kufanya kitendo kama hiko kwa binti yako ujue sio bure.
Mimi nahisi hapo kama una uwadui na mtu au kikundi flani ulikosana nao basi itakua wameamua kukupa jeraha kwa kumtuma mtu.
Hivyo ili kumpata adui yako hapo inakubidi uanzie mbali kidogo ila ukichukulia papara utaipoteza haki ya binti yako.
Pole kwa masahibu mkuu!