msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 471
- 351
Habari za saa hii
Naomba kusaidiwa mwanangu wa kike amebakwa na mtu bahati mbaya mtu huyo aliyembaka amekimbia. Nimechukua PF3 polisi nikampeleka zahanati nimeambiwa huduma atapatiwa kesho asubuhi asioge wala kubadili nguo.
Nauliza hiyo haiwezi kumletea madhara kiafya maana hajapimwa kipimo chochote?
Naomba usaidizi kwa madaktari.