Msaada; Mtu akisema nina mwanasheria wangu anakuwa anamaanisha nini?

Hivi mtu akisema nina mwanasheria wangu..ina maana anakuwa amemuajiri na anamlipa ata kama ajapata majanga au mpaka apate tatizo ndio akitetewa mahaman baada ya hapo ndio anamlipa?
Mijini kijana lazima uwe
1.polisi wako hakikisha ana cheo hapa mafala yatabisha ila uwe mtu wa mishemishe lazima uwe na polisi wako
2 .daktari wako hapa serikalini na private kote kuwa nao

3.mwanasheria wako muhimu
4.dalali wako ..
5.bodaboda wako wa kumuamini kumtuma kazi za maana
6.mtu wa mtaani mmoja...huyu ni kijana au mlevi wa mtaani muhimu sana unapiga nae story mara moja moja akupe mtaa unaendaje huwa wana data nyingi hapa hata kama mkeo anagongwa utajua
5.jirani yako..... hakikisha hata kama una hela vipi jirani ni kapuku kuwa na urafik nae muhimu hata kama umesoma vp mpende jirani yako hata awaje mahusiano yawe mazuri ila yasiwe na mazoea utanishukuru baadae

6.mjini lazima uwe number hata kiongozi mmoja tu .... ukipata shida unaweza tishia....mfano kwa hiyo nimpigie wazir mkuu muongea nae nyie mapolisi.......huu mfano tu ....ila tafuta urafik na viongozi kadhaa hata wa mtaa tu basi wenyeviti au madiwani yaani usikae tu kizembe pumbavu simu imejaa maboya tu weka hata number za tanesco basi mtaani umeme ukikatika uwe unafokea kama mimi huku gobA
 
Jitahidi Sana upate pia kibaka mmoja, those guys wako very smart, hakuna kibaka mjinga! Yaani ikitokea siku umeibiwa atajua Tu Hadi mtaa aliotoka.

Boss wangu gari yake ilinyofolewa kila kitu, aiseeee Jamaa alituelezea vyema Sana, kuwa style hii ya wizi ni wa Fulani na anatoka mtaa Fulani kwahio hapa alipewa mchongo......na kweli tukaelezwa jinsi ya kumpata na kumpooza ili arudishe. Namna alivyorudisha hio ni story ndefu ya thread yake tofauti
 
Back
Top Bottom