Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

Ukute Baba Junior kanunua na BREVIS au CROWN Basi anaona maisha kayapatiaaa!
Washakuwa wazungu tayari wabongo ulimbukeni utatuua.
Yaani kiufupi hata hao wageni itakuwa waliondoka na kinyongo.
Hawawezi kuamini kuwa hiyo ni tabia ya mtoto tu bali watafikiria ni wazazi huwa wanateta kuwasimanga wageni wakiwa chumbani.
 
Mkuu kweli umeshindwa kusolve inshu kama hio na wewe ndio baba wa familia na kichwa cha familia? Inshu ndogo ivo ya kuleta JF endeleeni kumdekeza huyo Junior na Uswahili wenu, matokeo mtayapata tu
 
Hiyo yaweza kuwa ni tabia ya mmojawapo yenu wazazi.

Ninafundisha Sunday school, juzi jpili baada ya somo nikaanza kuongea yaani kupiga story mbili tatu na watoto.

Niliwauliza kama wapo waliowahi kupigana shuleni, wawili tena girls walinyoosha vidole, sababu eti alinipora pen yangu, mmh, tukapigana hawakutuamua mpaka tukaumizana tukaacha kupigana.

Nikauliza, je kuna watoto wenye hasira bila sababu, yaani hili ndilo kundi kubwa, nilishangaa watoto wa miaka mitatu wanasema wana kuwa na hasira kali.

Kasichana kamoja kalisema kana hasira anatamani hata kumpiga bibi yake.

Na mtoto wako yuko kundi la wenye hasira na roho mbaya na choyo.

Niliwaombea, tuliomba sana, tuliondoa maroho ya kurithi, maagano na mateso yote yanayowapata watoto.

It's a big story.

Mwombeeni, pia muwe mnasema naye sana.
 
Tuna tatizo kubwa la malezi Siku hizi, mtoto wa Miaka 3 ni wa kuja kumfungulia uzi humu? Yaani Kama mzazi umeshindwa kumrekebisha mtoto wa umri huo?
Kwangu mie Tabia mbaya huwa zina compromise favour zoote kwa mpigo, Yani kitendo Cha kumzingua mgeni mtoto angechezea fimbo za kutosha , asingekula Siku hiyo na angelala kwenye mkeka huku akiambiwa yote hayo yametokana na tabia hiyo yake mbaya,
Huyo wako endelea kumdekeza tu , atageuka jambazi huku unamuona.
 
Hiyo yaweza kuwa ni tabia ya mmojawapo yenu wazazi.

Ninafundisha Sunday school, juzi jpili baada ya somo nikaanza kuongea yaani kupiga story mbili tatu na watoto.

Niliwauliza kama wapo waliowahi kupigana shuleni, wawili tena girls walinyoosha vidole, sababu eti alinipora pen yangu, mmh, tukapigana hawakutuamua mpaka tukaumizana tukaacha kupigana.

Nikauliza, je kuna watoto wenye hasira bila sababu, yaani hili ndilo kundi kubwa, nilishangaa watoto wa miaka mitatu wanasema wana kuwa na hasira kali.

Kasichana kamoja kalisema kana hasira anatamani hata kumpiga bibi yake.

Na mtoto wako yuko kundi la wenye hasira na roho mbaya na choyo.

Niliwaombea, tuliomba sana, tuliondoa maroho ya kurithi, maagano na mateso yote yanayowapata watoto.

It's a big story.

Mwombeeni, pia muwe mnasema naye sana.
Kabisaa aunt
NDIOOMAANA hatasikupata Shida kumjibu
Anavuna alichopanda
Karithishwa HUYO
Kama sio.kwa.mama.kwa baba kama.sio baba BASI
#Babawakamboooooooo inamhusu HIII

WENGINE unakutaa n visasi

Kuna WAZAZI wengi wanatunza WATOTO sio wakoo

Kama baba amehisi ANAONGEA nenoo nakwambiaa mzaz8 wakike kazi unayoo..,.

Fanyeniii yooote ILA kumletra mume MTOTO si wake marooho mengi tu jiandae kupambana nayoo else mpitishe WATOTO kwa aunt yangu awaombeee na KUFANYA toba ya kucheat
 
Mkuu,,menu ipo vzr ,,tatizo sijuwi hii tabia katoa wapi?
mimi naona wengi mnaelekeza mashambulizi kwa wazazi ,,tabia ya mtoto haina maisha mazuri wala maisha mabaya ,,tabia ni tabia tu..
Mkuu wazazunwan role kubwa sana ya ku mshape mtoto, katika makuzi watoto huokota okota vitabia vichafu mitaani , inatakiwa Kama mzazi use sharp kugundua Tabia hizo mpya ikiwezekana hata marafiki wake wapya, ili kuzuia zisimjae kichwani na kuwa ni kanuni,
Mtoto ana weza kwennda kucheza kwa jirani nusu saa tu na akarudi na Jambo jipya geni huko, baya au zuri , mzazi ndo inatakiwa use makini hapo
Tabia hizo mbaya za mwanao wa kulaumiwa no wewe mzazi sio mwingine
 
Umenifikirisha. Ninakaa na housegal na mtoto wake 6 yrs old. Huyu mtoto alimuambia mwanangu kwamba atamuua babu yake. Niliwapa likizo ya wiki wakaenda kwa babu na kukaa huko, alivyorudi hajaongelea tena.

Ngoja nifuatilie hii nimsaidie. Sikuwaza kabisa maombi. Ubarikiwe
Hiyo yaweza kuwa ni tabia ya mmojawapo yenu wazazi.

Ninafundisha Sunday school, juzi jpili baada ya somo nikaanza kuongea yaani kupiga story mbili tatu na watoto.

Niliwauliza kama wapo waliowahi kupigana shuleni, wawili tena girls walinyoosha vidole, sababu eti alinipora pen yangu, mmh, tukapigana hawakutuamua mpaka tukaumizana tukaacha kupigana.

Nikauliza, je kuna watoto wenye hasira bila sababu, yaani hili ndilo kundi kubwa, nilishangaa watoto wa miaka mitatu wanasema wana kuwa na hasira kali.

Kasichana kamoja kalisema kana hasira anatamani hata kumpiga bibi yake.

Na mtoto wako yuko kundi la wenye hasira na roho mbaya na choyo.

Niliwaombea, tuliomba sana, tuliondoa maroho ya kurithi, maagano na mateso yote yanayowapata watoto.

It's a big story.

Mwombeeni, pia muwe mnasema naye sana.

Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuchapa nachapa sn tu,,na kuhusu mama yake pia hana tabia hyo kwani wote tunashangazwa na hilo
Huyo mtoto mna mdekeza hata Kama kumchapa unchapa lkn kirafiki zaidi , watoto wanatakiwa kupendwa Ila usiwaamini, ikitokea amezingua kuwa real mtu uliyeInguliwa na ajue kuwa akizingua favour zote zinapotea
Mi nilitumia technic ya kuwaahidi wanangu vitu vizuri wanavyovipenda kwa ratiba ya mbele , let's say labda nitawapeleka sehemu nzuri etc , halafu hiyo ahadi inakuwa ndo silaha yangu just in case hapa katikaki wakizingua , yani anapata adhabu pamoja na ahadi kufutika, watoto walikuwa careful sana , infact Kuna vitu walikuwa wakifundishwa huko uchochoroni wanakuja kuniuliza kwanza, then ndo natoa go ahead hiki ni sahihi au kile achana nacho
 
Mkuu uko sahihi sana kabisa

Ndo mana nikasema,mfano mimi boda boda sina kitu,basi mtoto wangu ataharibikiwa.
Hakuna compromise kwenye Tabia mbaya , kwamba hashibi ndo sababu ni mchoyo? nimeshuhudia watoto walikulia kwenye dhiki Kali sana ila Tabia zimenyooka
 
zamani ilikuwa wageni wakija ukiji behave vibaya unakatwa jicho moja matata unaacha utundu, nashangaa watoto wa sikuhizi wanaharibikiwa kisa usasa
+1
Mie sikukuu moja nilijichanganya nikachukuq nyama kabla mgeni hajachukua !! Asee pilau liliishia pale , plus fimbo za kutosha na jioni nikapikiwa ugali maharage huku watoto wenzangu wakimalizia pilau la sikukuu, nakumbuka nilikuwa na Miaka Saba tu
 
Mtenge na wageni wanapokutembelea, wakati wa maakuli akale jikoni na dada wa kazi au mama yake! Mchanganye na watoto wa ndugu zako au majirani wale kwenye sinia moja apigwe na wenzake akiwaambia hayo maneno na akija kushitaki mumuongezee kipigo!

Alafu chunguza nani ana mfundisha kusema hayo maneno na yeye umpatie kipigo ! Tofauti na hapo mwanao ajipange kutengwa na kuchukiwa utotoni na ukubwani!
 
Back
Top Bottom