Wako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
Pole sana ndugu. Mungu amfanyie wepesi. Tuungane kuwaomba waja humu ndani, huwenda kuna walio na suluhisho.Wako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Pole sana, usisahau wazee ni muhimu sana au Kwa mwamposa sio kawaida hilo jamboNatumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
Hyo ni Kati ya childhood disorders!!Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
Huyu wako ni tofautiWako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Picha ikishindikana kufunguka..maelezo haya hapa chiniHyo ni Kati ya childhood disorders!!
Nadhan mpeleke kwa watu wa Saikolojia watawambia nn Cha kufanya
Angalia hyo no 134...kama vle inaendana na sifa za mwanao View attachment 2710964
Kama ameanza kuongea vitu havieleweki manake anaanza kujitafuta, ataanza kuongea maneno taratibu. Imagine 3.5yrs mtoto hata kusema baba anapata shida, ila walau.Ndio maana tunauliza kama kuna lolote wazazi tunaweza fanya kumsaidia mtoto. Kama Mungu ameamua kutupatia bubu, atakuwa amejua tuna nguvu ya kumlea, na wallah tutamlea.
Pole sanaWako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Mwamposa angekuwa na huo uwezo pasingekuwa na wagonjwa mahospitaliniPole sana, usisahau wazee ni muhimu sana au Kwa mwamposa sio kawaida hilo jambo
HaipendezišNdo ushazaa bubu sa utafanyaje?