Bachelor of Biznes and Economics.BBE ndio nini hiyo mkuu??
Dawa ya upere inawasha sana ikigusa sehemu laini katika mwilibbe hatuijui mkuu
aaah duh aiseeDawa ya upere inawasha sana ikigusa sehemu laini katika mwili
👏👊👊👊Keep this medicine away from the eyes and other mucous membranes, such as the inside of the nose, because it may cause irritation . If you accidentally get some in your eyes, flush them thoroughly with water at once.
Dawa hatari sana hii inawasha mpaka inawasha tena kama umeweka acid vile kwenye ngozi..Dawa ya upere inawasha sana ikigusa sehemu laini katika mwili
Sure hasa ikigusa sehemu za siriDawa hatari sana hii inawasha mpaka inawasha tena kama umeweka acid vile kwenye ngozi..
Nmewahi kuitumia nlkua napaka huko pia aloooh kidogo nilie 😂Sure hasa ikigusa sehemu za siri
. ..Kama Upele wenyewe upo sehemu yenye Ngozi laini ???....Dawa ya upere inawasha sana ikigusa sehemu laini katika mwili