lusevya
Member
- Jan 31, 2018
- 30
- 12
Msaada jamani demu wangu hajui mapenzi hasa tuwapo kitandani yaani hajui afanye nini kwan hadi nimuulekeze mimi na hadi nikitaka kumla denda hajui tu kama atakiwa kutoa ulimi bali yeye analeta midomo yake kwangu tu na kupelekea meno kugongana ila kwa kweli ninampenda hasa kwa uzuri wake wa sura na na chura yake sasa jamani mnishauri nifanyeje?
