Msaada: mpenzi wangu hajui mapenzi nifanyaje ?

Msaada: mpenzi wangu hajui mapenzi nifanyaje ?

Naendeshaga Darasa kwa mademu kama hawa na wengi wamefuzu na waume zao Wananishukuru kila kukicha,

Mlete kwangu nitamfunza akifeli nakurudishia Ada. Nicheki PM.
 
Unatangaza tebder watu wakufundushie? Subiri utawapata lakini usije tena kulalamika humu kua mkeo anakuonyesha mashamsham hujawahi ona na hujui kajifunzia wapi na unataka kumpa talaka
Mmmh kidogo ajue jaman
 
aisee una bahati sana inaelekea hata story za vibamia hazijui hvyo wewe huna stress za kuanza kuhangaika na madawa ya kibamia cha msingi mfundishe kila kitu unachotaka akufanyie na baada ya muda utaenjoy mema ya nchi ili ucfanye kosa asije kupata wataalam zaidi yako
 
Mshukuru Mungu sana kwa hlo.....

Mfundishe mapema kabla ya kufundishwa na wengine ...utakua hatalini
Kila la heri...
 
Subili watamfundisha wa jirani naye wewe usimzuie kutoka mara kwa mara atajifunza huko utapata ulichokusudia kwake
 
Msaada jamani demu wangu hajui mapenzi hasa tuwapo kitandani yaani hajui afanye nini kwan hadi nimuulekeze mimi na hadi nikitaka kumla denda hajui tu kama atakiwa kutoa ulimi bali yeye analeta midomo yake kwangu tu na kupelekea meno kugongana ila kwa kweli ninampenda hasa kwa uzuri wake wa sura na na chura yake sasa jamani mnishauri nifanyeje?
mfundishe vile ww unataka, mradi isiwe mambo mabaya ya kinyume na maumbile na uzungu usio na maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom