Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Kwa Dar es salaam wapi wanachora tattoo ya muda mfupi kama zile ambazo ukitaka kuzitoa unazitoa baada ya mwaka mf na bei zao pleas nahitaj kumfurahisha babaa tattoo kiunoni.


Ni PM Finest kama kweli upo serious
 
Last edited by a moderator:
Hujaelewa hata hoja unayobishia, nilisema michoro mingine inayochorwa inaita mashetani. Yaani wewe unaweza kujikuta umependa tattoo fulani na kile kitendo cha kujichora unakuwa umejipiga mhuri na umeingia mkataba na majini na mashetani. Tattoo za nyoka na zingine zinaweza kukuweka matatizoni. Sijasema wenye majini wote wana tattoo, ila tattoos zinaweza kuwa ndio moja ya vibali vya hayo mashetani kukuingia. Angalia video ya kwanza hiyi katika hizo link kuna dada anafanya umalaya akiyatumikia mashetani kuharibu maisha ya wanaume anaowafuata, yamesema yenyewe wameingia covenant nae kwa tattoo kiunoni na amesema mwanaume akiiona anamfuata tu.

Mkuu unapoteza mda muda kwa mtu asiejua chochote, na wala hataki kujifunza. Leave him/her alone
 
Back
Top Bottom