Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Akili yako haielewi, naona nikuache hivyo hivyo mpk utakapofunguliwa. Unachoweka mwilini mwako na kilichochorwa kwenye pesa, logo na majengo havina uzito sawa kwako as ana individual. Nimeweka ile video ili uelewe ila naona hujaangalia, ungeangalia usingekuwa na swali wala usingejibu majibu ya wanaume kutamani viuno kirahisi hivyo.
Kwa taarifa yako (FYI) sijasimuliwa nimeona, angalia video uone.
Shetani anawatumia watu wengi tu so sishangai wewe kutumia nguvu kupinga na kubishia kitu chenye kuongelewa kawaida tu kama onyo. Mi nimeonya sijasema kila mchoro wa tattoo unafanana ila kwa sababu unaweza usijue kutofautisha ni vema uwe makini usipatwe na matatizo.

dada yangu ukiingia jamii formus usisahau kuwa unajiunga na watu wenye kufikiri zaidi ya uwezo wa kawaida au uwezo uliozoeleka....natumai nawe ni great thinker...ndio maana nimekuba majibu ya kisayansi....wewe umengangania ushahidi wa video uliyoitoa youtube....

video nazo zinatengenezwa na pia zinztengenezwa kwa malengo maalumu...unatakiwa ujuwe au uelewe zaidi ya hayo u nayowekewa kwenye video...ndio maana nikakuambia mwanzo kabisa do not believe in everything you READ, HEAR OR SEE...that everything is REAL...some other things are FABRICATED to suite a certain type of audience.

haya jibu maswali yangu yafuatayo

1- shetani ni nani?

2- jini au majini ni nani?

3- unaweza kuleta ushahidi wa kisayansi juu ya uwepo wa shetani na majini?

4-tatoo inatofauti gani na picha iliyochorwa kwenye canvas au hata karatasi au ukuta?

5- kama ni kweli tatoo zinavuta au kuleta mashetani je ni kweli kuwa kila sehemu iliyochorwa picha inatakiwa iwe na mashetani?

hisia zangu ni kuwa wewe ni mmoja kati ya hawa tunaowaita walokole..au born again christians....tafadhali usitenganishe dini na uwezo wa kufikiri kisayansi....unaweza kukutwa na yaliyowakuta wafuasi wa kibwetere.

thanks again....for this i do care..yes i do.
 
Ndo maana kasema ya mda mfupi(temporary) ambayo akiamua kufuta anafuta kwhyo wakiachana anafuta tu ana akili sana kama shetani analetwa na tattoo basi wizkhalifa shetani mkuu
 
dada yangu ukiingia jamii formus usisahau kuwa unajiunga na watu wenye kufikiri zaidi ya uwezo wa kawaida au uwezo uliozoeleka....natumai nawe ni great thinker...ndio maana nimekuba majibu ya kisayansi....wewe umengangania ushahidi wa video uliyoitoa youtube....

video nazo zinatengenezwa na pia zinztengenezwa kwa malengo maalumu...unatakiwa ujuwe au uelewe zaidi ya hayo u nayowekewa kwenye video...ndio maana nikakuambia mwanzo kabisa do not believe in everything you READ, HEAR OR SEE...that everything is REAL...some other things are FABRICATED to suite a certain type of audience.

haya jibu maswali yangu yafuatayo

1- shetani ni nani?

2- jini au majini ni nani?

3- unaweza kuleta ushahidi wa kisayansi juu ya uwepo wa shetani na majini?

4-tatoo inatofauti gani na picha iliyochorwa kwenye canvas au hata karatasi au ukuta?

5- kama ni kweli tatoo zinavuta au kuleta mashetani je ni kweli kuwa kila sehemu iliyochorwa picha inatakiwa iwe na mashetani?

hisia zangu ni kuwa wewe ni mmoja kati ya hawa tunaowaita walokole..au born again christians....tafadhali usitenganishe dini na uwezo wa kufikiri kisayansi....unaweza kukutwa na yaliyowakuta wafuasi wa kibwetere.

thanks again....for this i do care..yes i do.

Sayansi inaprove vinavyogundulika na five senses tu, mimi ni mwana sayansi. Ila nina bahati nimeona the spiritual side of things, scientific evidence is not the same as spiritual evidence. You can't prove the spiritual using science, but the physical world result from the unseen/spiritual side of things.
Kama kweli unataka kujua sio for the sake ya kubishana tu PM me.
Mi nimeonya tu, the spiritual world is ruled by symbolism.
 
Kwa leo sipo kwa ajili ya kuingia PM ila nimekutahadharisha kuwa hayo mambo ya spiritual yanaendana na science kuyapa support...ukiyaendea kichwakichwa utaishia kufanyiwa aliyofanya spiritual leader kibwetere....na juzi aliyofanya spiritual leader gwajima kuwa kazuia mvua isinyeshe na ikaendelea kunyesha....

tufunge mjadala wetu as najua mambo ukishayaingiza kwenye imani za kiroho watu huwa wagumu sana kukubali kutazama upande wa pili na kukubali kugeuka au hata kuuona ukweli halisi japo inamuwia vigumu kugeuka.

aksante kwa kushare nawe uelewa wetu juu ya mambo mengine.
 
PesaNdogo swali la kizushi...mbona avatar yako ni zaidi ya tatoo...huoni kama unatukwaza waja wa mwenyezi mungu?
 
pole kwa kukwazika, nilikosea kuiweka ila nikashindwa kuitoa.
hata mimi vitu vingi nimekuwa nikivichukulia kawaida lakini ni vitu vya kuwa makini navyo.
Ukiachia kuona watu wakikumbwa na shida kutokana na vitu vya kuweka mwilini maana huwa vinawatokea watu kwa kuwa vimepewa nafasi kwa namna fulani kwa kujua au kutojua nimegundua na vingine vipo katika maandiko hasa najua kwa dini ninayoabudu

Mambo ya Walawi 19:28
Msijichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu mimi ndimi BWANA.

Leviticus 19:28

"'Do not cut your bodies for the dead or put tattoo marks on yourselves. I am the LORD.

New Living Translation
"Do not cut your bodies for the dead, and do not mark your skin with tattoos. I am the LORD.

English Standard Version
You shall not make any cuts on your body for the dead or tattoo yourselves: I am the LORD.

New American Standard Bible
'You shall not make any cuts in your body for the dead nor make any tattoo marks on yourselves: I am the LORD.

King James Bible
Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print any marks upon you: I am the LORD.

vingine labda vilikatazwa katika maandiko ya kale maana inawezekana matatizo yake yalifahamika, mwisho ni ushauri tu simlazimishi asijichoree ila ni onyo tu inaweza kuwa chanzo cha nuksi
 
dada yangu ukiingia jamii formus usisahau kuwa unajiunga na watu wenye kufikiri zaidi ya uwezo wa kawaida au uwezo uliozoeleka....natumai nawe ni great thinker...ndio maana nimekuba majibu ya kisayansi....wewe umengangania ushahidi wa video uliyoitoa youtube....

video nazo zinatengenezwa na pia zinztengenezwa kwa malengo maalumu...unatakiwa ujuwe au uelewe zaidi ya hayo u nayowekewa kwenye video...ndio maana nikakuambia mwanzo kabisa do not believe in everything you READ, HEAR OR SEE...that everything is REAL...some other things are FABRICATED to suite a certain type of audience.

haya jibu maswali yangu yafuatayo

1- shetani ni nani?

2- jini au majini ni nani?

3- unaweza kuleta ushahidi wa kisayansi juu ya uwepo wa shetani na majini?

4-tatoo inatofauti gani na picha iliyochorwa kwenye canvas au hata karatasi au ukuta?

5- kama ni kweli tatoo zinavuta au kuleta mashetani je ni kweli kuwa kila sehemu iliyochorwa picha inatakiwa iwe na mashetani?

hisia zangu ni kuwa wewe ni mmoja kati ya hawa tunaowaita walokole..au born again christians....tafadhali usitenganishe dini na uwezo wa kufikiri kisayansi....unaweza kukutwa na yaliyowakuta wafuasi wa kibwetere.

thanks again....for this i do care..yes i do.

Mambo ya Mungu hayawezi kuchanganywa na ya kisayansi...as long as you do not believe, you will not believe. It will take something greater than mtu kujibu hayo maswali yako ili uamini. I do not see anypoint in her/him answering your questions. Kila mtu anabelief zake, whether iwe Jf twitter etc.. if you don't believe, you just dont and as far as i can see, you wont believe whas she/he said today or tomorrow.
 
NAONA KAMA UMEDANDIA TRENI KWA MBELE.....JARIBU KUPITIA MLOLONGO MZIMA WA STORY HII NA ARGUMENTS ZANGU...KISHA NIONYESHE NILIPOSEMA SIAMINI.

KWA KUKUSAIDIA TUU....AM A VERY GOOD BELIEVER ABOVE ALL A GOD FEARING HUMAN BEING......BUT.....I DO READ AND LISTEN BETWEEN LINES AND WORDS.....najitahidi nisikose maarifa maana mungu wangu mie ananionya kuwa nitaangamia kwa kukosa maarifa....THE LIKES OF KIBWETERE FOLLOWERS.

YOU SOUNDS LIKE MDADA/MSICHANA....BUT NAKUOMBA USIWE UNACHOMOKA GHAFLA UNAWEZA KUSABABISHA AJALI....NOTHING PERSONAL AT OL....KIROHO SAFI NA USHAURI NASAHA UNAPATIKANA
 
maswali yako ndio yalinifanya niseme vile, ajali kitu gani, wala usijali, i learned not to take things personal a long time ago....good luck to both of you with your discussion
 
mnhhhh...wee mwenzetu wa imani gani aisee?....mashetani yanaletwa na tatoo mwilini?....hiyo bibilia au koran ya wapi aisee.....nijuze please.

Kujikata kata. Mwilini ilikua nitabia ya manabii wa baali. Kunatofauti gani na tattoo?
 
Finest

Yeye amejichora kwa ajili yako? kwanini asijichore yeye kwanza. michoro mingine kujichora chora unaalika mashetani mwilini mwako

Dada yangu huku kuigaiga ni kubaya sana halafu hapo anaweza akachora lipicha asilolijua dragon si dragon,mara nyoka,mwewe,mjusi n.k

Nilishawahi kuambiwa na rafiki yangu mmoja muhindi kuwa nyoka wengi wanaochorwa kwny tatoo huwa roho zao zipo hai kabisa na zina act pia kwa muhusika na wengine wanazisujudia bila kujua.
 
Last edited by a moderator:
NAONA KAMA UMEDANDIA TRENI KWA MBELE.....JARIBU KUPITIA MLOLONGO MZIMA WA STORY HII NA ARGUMENTS ZANGU...KISHA NIONYESHE NILIPOSEMA SIAMINI.

KWA KUKUSAIDIA TUU....AM A VERY GOOD BELIEVER ABOVE ALL A GOD FEARING HUMAN BEING......BUT.....I DO READ AND LISTEN BETWEEN LINES AND WORDS.....najitahidi nisikose maarifa maana mungu wangu mie ananionya kuwa nitaangamia kwa kukosa maarifa....THE LIKES OF KIBWETERE FOLLOWERS.

YOU SOUNDS LIKE MDADA/MSICHANA....BUT NAKUOMBA USIWE UNACHOMOKA GHAFLA UNAWEZA KUSABABISHA AJALI....NOTHING PERSONAL AT OL....KIROHO SAFI NA USHAURI NASAHA UNAPATIKANA

Nimekuelewa vizuri sana mkuu,
 
Nenda kajichore ila kuna mawili mchoraji anakula mzigo wako au kansa itakufollow
 
Back
Top Bottom